正在加载视频...

视频加载失败

Hebu nikuulize swali..m

22,795 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

12 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Jana nilivyopita kwenye Baadhi ya pages za Kenya 🇰🇪, Zilizopost habari ya Ku-hackiwa kwa account kubwa za Taasisi za Tanzania. Baadhi ya Comments walisema hata websites zao zilikuwa dhaifu, na hazina ulinzi wa kutosha Sasa sikiliza wanavyo-hack Video kwa Comments 👇

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Jiunge A Channel ya ajira point kupata updates zote za Ajira. Bonyeza Kujiunga

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Inaendelea

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Msikilize waziri wa habari akiogelea usalama wa mifumo ya Tz

Sunshine Letters 的头像
Sunshine Letters1 年前

Give your beautiful wife a gift she can cherish forever.

Kaheza Kaheza 的头像
Kaheza Kaheza1 年前

Kuna aliyemwelewa huyu!? Mbona kama analeta story na sio ufafanuzi wa kitaalamu😀😀😀

Ja Suba 的头像
Ja Suba1 年前

Huyu ndio expert wa kitanzania? You have along way to go jirani

kelvin venance 的头像
kelvin venance1 年前

Hatuna mtaalamu hapo tuna mzungumzaji tu. Masoud is HOW jibu ni simple tu A .... B but mtaalamu anajibu swali kwa njia ya A,C,B,F,E yaani kama kaulizwa WHAT

Masque 的头像
Masque1 年前

Hawa watu bado ni wajinga buana.

Karis 的头像
Karis1 年前

Ukiweka Diamond1 kama password unataka aje

mira___01 的头像
mira___011 年前

huyu jamaa jau sana kaulizwa hiki analeta stori nyingi

Nando 的头像
Nando1 年前

Hawa ndo walio kua wanakimbia morning speech shuleni hawa, kujieleza ni zero kabisa.

相关视频

Men mnajua swali.
0:37

Sensitive content

Men mnajua swali.

ROSALINE🦋

33,167 次观看 • 12 天前