ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Heche๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

38,405 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 6 ไธชๆœˆๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

36 ๆก่ฏ„่ฎบ

MZEE ALOYCE โญโญ ็š„ๅคดๅƒ
MZEE ALOYCE โญโญ6 ไธชๆœˆๅ‰

Maswali anayouliza Haji Manara hata yeye akijifungia chumbani anajua kabisa hakuna swali la maana hapo! Na hivyo viswali ndio vinaulizwa swali sana na UVCCM bila kujua hiyo tume huru inamabdiliko gani Taifa saizi halina vilaza tena

SIRRA JR ็š„ๅคดๅƒ
SIRRA JR6 ไธชๆœˆๅ‰

Wakurya sisi ni WATU wawazi huwa hatujui kuficha jambo ambalo tunaona haliko sawa, hatupendi uchawa uchawa Binafis heche ni mtu alienyooka sana, ametoka familia kubwa baba ake alikua na wanawake 20 kwendelea, alikua na ng'ombe 3000 Kwahyo anaelewa ushindani ukoje

Adv.Innocentโš–๏ธ ็š„ๅคดๅƒ
Adv.Innocentโš–๏ธ6 ไธชๆœˆๅ‰

Amini kwamba

iam kouessy ็š„ๅคดๅƒ
iam kouessy6 ไธชๆœˆๅ‰

Adui mkubwa wa CCM ni elimu.

Baba Voss ็š„ๅคดๅƒ
Baba Voss6 ไธชๆœˆๅ‰

elimu elimu elimu tupunguze kupeleka watoto madrasa tu na shule ni muhimu.

Makiwa007 ็š„ๅคดๅƒ
Makiwa0076 ไธชๆœˆๅ‰

Haji aliambiwa kwamba siku hiyo mgeni atakuwa Heche au alifanyiwa surprise tu? Ni kama hakujiandaa? Hana hoja zenye kuyapa nguvu maswali yake, anashindwa kuyapa nguvu maswali yake kwa mifano na ushahidi! Hana taarifa! Hakujiandaa! Ni rasmi sasa kafanya Dunia imejua Hana akili

Sekenke One ๐ŸŒป ็š„ๅคดๅƒ
Sekenke One ๐ŸŒป6 ไธชๆœˆๅ‰

Greatness tupu

Adv.Innocentโš–๏ธ ็š„ๅคดๅƒ
Adv.Innocentโš–๏ธ6 ไธชๆœˆๅ‰

Tupu

Kennie Kendrick ็š„ๅคดๅƒ
Kennie Kendrick6 ไธชๆœˆๅ‰

Manara Leo usingizi hauji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Elangwa Elangwa ็š„ๅคดๅƒ
Elangwa Elangwa6 ไธชๆœˆๅ‰

@HajiManara kama hujaelewa hawezi kuelewa tena...! Maana umeingia kwenye mfumo wa @HecheJohn

Vitalis Mwandesile ็š„ๅคดๅƒ
Vitalis Mwandesile6 ไธชๆœˆๅ‰

Makamu mwenyekit wa chama langu @HecheJohn

A man of the people ็š„ๅคดๅƒ
A man of the people6 ไธชๆœˆๅ‰

Huyo nguruwe fala sana

Othman ็š„ๅคดๅƒ
Othman6 ไธชๆœˆๅ‰

Kwa akili hizi haji watamtombea sana

RQ ็š„ๅคดๅƒ
RQ6 ไธชๆœˆๅ‰

Kwa akili izi za manara asitegemee kuishi na mwanamke milele tena

ISRAEL JOEL MWAIJANDE ็š„ๅคดๅƒ
ISRAEL JOEL MWAIJANDE6 ไธชๆœˆๅ‰

@HecheJohn Yaani, kama CCM na Serikali walipewa proposal hii ya Manara ndiye aje kupambana na hoja zakina Heche, ni kufeli kwingine kwa michezo yao Na ninavyoifahamu @ChademaTZ2 itakuwa inapeleka watu wanaojua kujenga hoja. Na kupitia hapa, CHADEMA itafanya siasa nzuri sana. Tena watamtoa

Moker ็š„ๅคดๅƒ
Moker6 ไธชๆœˆๅ‰

Fb mkuu

Mnyamaa ็š„ๅคดๅƒ
Mnyamaa6 ไธชๆœˆๅ‰

@KatibaMpyaTz_ Diwani wa K/Koo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Omar Warlock ็š„ๅคดๅƒ
Omar Warlock6 ไธชๆœˆๅ‰

Hahaha Kabisa

MR LECTURER,(PHD) ็š„ๅคดๅƒ
MR LECTURER,(PHD)6 ไธชๆœˆๅ‰

Kuna jamaa lilikomenti Ety ndo maana haji anaachwa na wanawake zake imagine huu ndo ubongo wa mtu tena above 40+๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Vinci Codes ็š„ๅคดๅƒ
Vinci Codes6 ไธชๆœˆๅ‰

Sasa Manara akili za kuishi na wanawake tu hana Atamuweza @HecheJohn kweli ?!๐Ÿค”

Ramadhani Sully ็š„ๅคดๅƒ
Ramadhani Sully6 ไธชๆœˆๅ‰

Naam mtu makini fb mkuu

Synocial ็š„ๅคดๅƒ
Synocial6 ไธชๆœˆๅ‰

Manara ni dish

Kaka mkubwa ็š„ๅคดๅƒ
Kaka mkubwa6 ไธชๆœˆๅ‰

duuh

@grok ็š„ๅคดๅƒ
@grok6 ไธชๆœˆๅ‰

@KatibaMpyaTz_ Leo manara! Kaingia cha kike

godlisten mshigwa ็š„ๅคดๅƒ
godlisten mshigwa6 ไธชๆœˆๅ‰

@nzwanja820 Asante Makamu, Mungu akuweke.

jozee ็š„ๅคดๅƒ
jozee6 ไธชๆœˆๅ‰

Akili kubwa sana

Kipara Manyota ็š„ๅคดๅƒ
Kipara Manyota6 ไธชๆœˆๅ‰

Heche noma san

Ngapulila! ็š„ๅคดๅƒ
Ngapulila!6 ไธชๆœˆๅ‰

Alimshona Haswa a

The Monk ็š„ๅคดๅƒ
The Monk6 ไธชๆœˆๅ‰

Damn

Fluent In Printing ็š„ๅคดๅƒ
Fluent In Printing6 ไธชๆœˆๅ‰

Haji came off torn - caught between the objectivity of a journalist and the instinct to defend his political side.

maguta Peter ็š„ๅคดๅƒ
maguta Peter6 ไธชๆœˆๅ‰

Kuna box lilitaka kufunguliwa wakakataaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

BENARD BENARD ็š„ๅคดๅƒ
BENARD BENARD6 ไธชๆœˆๅ‰

Kuna mtangazaji 1 apo hana akili

Kamara ็š„ๅคดๅƒ
Kamara6 ไธชๆœˆๅ‰

Kuna yule waitara, na yule mmama aliyekuwa kundi la covid19 wale pia si wakurya?

Kidume tz ็š„ๅคดๅƒ
Kidume tz6 ไธชๆœˆๅ‰

Swali Langu, Je huรฟ haji hapa alikuwa kama mtangazaji au Chawa wa Ccm?..

Wisdom Mathayo ็š„ๅคดๅƒ
Wisdom Mathayo6 ไธชๆœˆๅ‰

Simba Na Yanga ilikuwa noma๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Hafidh ็š„ๅคดๅƒ
Hafidh6 ไธชๆœˆๅ‰

manara bora ya bonny ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘