正在加载视频...

视频加载失败

38,468 次观看 • 6 个月前 •via X (Twitter)

36 条评论

MZEE ALOYCE ⭐⭐ 的头像
MZEE ALOYCE ⭐⭐6 个月前

Maswali anayouliza Haji Manara hata yeye akijifungia chumbani anajua kabisa hakuna swali la maana hapo! Na hivyo viswali ndio vinaulizwa swali sana na UVCCM bila kujua hiyo tume huru inamabdiliko gani Taifa saizi halina vilaza tena

SIRRA JR 的头像
SIRRA JR6 个月前

Wakurya sisi ni WATU wawazi huwa hatujui kuficha jambo ambalo tunaona haliko sawa, hatupendi uchawa uchawa Binafis heche ni mtu alienyooka sana, ametoka familia kubwa baba ake alikua na wanawake 20 kwendelea, alikua na ng'ombe 3000 Kwahyo anaelewa ushindani ukoje

Adv.Innocent⚖️ 的头像
Adv.Innocent⚖️6 个月前

Amini kwamba

iam kouessy 的头像
iam kouessy6 个月前

Adui mkubwa wa CCM ni elimu.

Baba Voss 的头像
Baba Voss6 个月前

elimu elimu elimu tupunguze kupeleka watoto madrasa tu na shule ni muhimu.

Makiwa007 的头像
Makiwa0076 个月前

Haji aliambiwa kwamba siku hiyo mgeni atakuwa Heche au alifanyiwa surprise tu? Ni kama hakujiandaa? Hana hoja zenye kuyapa nguvu maswali yake, anashindwa kuyapa nguvu maswali yake kwa mifano na ushahidi! Hana taarifa! Hakujiandaa! Ni rasmi sasa kafanya Dunia imejua Hana akili

Sekenke One 🌻 的头像
Sekenke One 🌻6 个月前

Greatness tupu

Adv.Innocent⚖️ 的头像
Adv.Innocent⚖️6 个月前

Tupu

Kennie Kendrick 的头像
Kennie Kendrick6 个月前

Manara Leo usingizi hauji😂😂😂

Elangwa Elangwa 的头像
Elangwa Elangwa6 个月前

@HajiManara kama hujaelewa hawezi kuelewa tena...! Maana umeingia kwenye mfumo wa @HecheJohn

Vitalis Mwandesile 的头像
Vitalis Mwandesile6 个月前

Makamu mwenyekit wa chama langu @HecheJohn

A man of the people 的头像
A man of the people6 个月前

Huyo nguruwe fala sana

Othman 的头像
Othman6 个月前

Kwa akili hizi haji watamtombea sana

RQ 的头像
RQ6 个月前

Kwa akili izi za manara asitegemee kuishi na mwanamke milele tena

ISRAEL JOEL MWAIJANDE 的头像
ISRAEL JOEL MWAIJANDE6 个月前

@HecheJohn Yaani, kama CCM na Serikali walipewa proposal hii ya Manara ndiye aje kupambana na hoja zakina Heche, ni kufeli kwingine kwa michezo yao Na ninavyoifahamu @ChademaTZ2 itakuwa inapeleka watu wanaojua kujenga hoja. Na kupitia hapa, CHADEMA itafanya siasa nzuri sana. Tena watamtoa

Moker 的头像
Moker6 个月前

Fb mkuu

Mnyamaa 的头像
Mnyamaa6 个月前

@KatibaMpyaTz_ Diwani wa K/Koo🤣🤣

Omar Warlock 的头像
Omar Warlock6 个月前

Hahaha Kabisa

MR LECTURER,(PHD) 的头像
MR LECTURER,(PHD)6 个月前

Kuna jamaa lilikomenti Ety ndo maana haji anaachwa na wanawake zake imagine huu ndo ubongo wa mtu tena above 40+😂😂😂😂😂😂

Vinci Codes 的头像
Vinci Codes6 个月前

Sasa Manara akili za kuishi na wanawake tu hana Atamuweza @HecheJohn kweli ?!🤔

Ramadhani Sully 的头像
Ramadhani Sully6 个月前

Naam mtu makini fb mkuu

Synocial 的头像
Synocial6 个月前

Manara ni dish

Kaka mkubwa 的头像
Kaka mkubwa6 个月前

duuh

@grok 的头像
@grok6 个月前

@KatibaMpyaTz_ Leo manara! Kaingia cha kike

godlisten mshigwa 的头像
godlisten mshigwa6 个月前

@nzwanja820 Asante Makamu, Mungu akuweke.

jozee 的头像
jozee6 个月前

Akili kubwa sana

Kipara Manyota 的头像
Kipara Manyota6 个月前

Heche noma san

Ngapulila! 的头像
Ngapulila!6 个月前

Alimshona Haswa a

The Monk 的头像
The Monk6 个月前

Damn

Fluent In Printing 的头像
Fluent In Printing6 个月前

Haji came off torn - caught between the objectivity of a journalist and the instinct to defend his political side.

maguta Peter 的头像
maguta Peter6 个月前

Kuna box lilitaka kufunguliwa wakakataaa🤣🤣🤣

BENARD BENARD 的头像
BENARD BENARD6 个月前

Kuna mtangazaji 1 apo hana akili

Kamara 的头像
Kamara6 个月前

Kuna yule waitara, na yule mmama aliyekuwa kundi la covid19 wale pia si wakurya?

Kidume tz 的头像
Kidume tz6 个月前

Swali Langu, Je huÿ haji hapa alikuwa kama mtangazaji au Chawa wa Ccm?..

Wisdom Mathayo 的头像
Wisdom Mathayo6 个月前

Simba Na Yanga ilikuwa noma😆😂😂😂😂😂.

Hafidh 的头像
Hafidh6 个月前

manara bora ya bonny 😂😂😂

相关视频