Heeee MAKUBWA🙌🏾🙌🏾
@MrB_Official0411K followers
16,085 views
33 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@abifanali
SASA MWENYEKITI YUPO NDANI NDO KUNA MARIDHIANO HAPO .. AF WE BANGI KWELI WEWE
2 likes

@blaque_carter
Kwani uchaguzi ulivyoisha bila CDM kushiriki huo uchaguzi wenye ushindi waa 98.9% anae laumiwa ni Serikali au CDM?
2 likes

@TonnyAdamms
kwa Taarifa yako,John Heche HAFANYI MAAMUZI YA KITAIFA bila kuzungumza na Tundu Lissu,Mwenyekiti Wake MSIMAMO WA TUNDU LISSU, CHADEMA HAITOSHIRIKI MAZUNGUMZO YA UWONGO,wakati Wanachama na Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakiwa gerezani kwa Tuhuma mbalimbali za Uzushi JIUNGE CHAUMA
1 like

@TonnyAdamms
huyu ni mtu mdogo sana katika Uongozi wa CHADEMA. ma Press ya kazi gani? hajui MIPAKA YA MAMLAKA YAKE? ana ISSUE, yupo BRENDA RUPIA, ampe hizo HABARI, Brenda atazitoa kwa VYOMBO VYA HABARI. kama yupo DESPERATE NA UBUNGE, ajiunge na CHAUMA, Shida nini? He must follow the Rules
1 like

@FilbertMahenge
Mkiamua kuweka katiba la kininga wekeni ila msituhusishe na ujinga wenu
1 like

@mujokolobuba
Kwani huyu jamaa hana kazi nyingine ya kufanya,naona anatafuta watu wa kumtukana kwa nguvu
1 like

@Francy22251916
Una Shangaa wewe huyu tapeli hatusumbui wanachama wa chadema , aende same kutika mkutano kama hatokei yeye na na mke wake.
1 like

@gudjow1
Marekebisho ya katiba au katiba mpya?
1 like

@osoitsam
Huyu mwehu sana apuuzwe
1 like

@RudovickThobias
Unawashwaaaa eeeee

@Hakikwanza2025
Hatudanganyiki

@ford_sony5
Me ombi langu hiki chama ambacho wachaga wanaamini ni mali yao kife kabisa kifutwe halafu wale watu wa watu tunao wakubali waanzishe chama kingine hicho ndio kinaweza kuwa mkombozi

@EmanuelSweke
Chizi hilo

@due_la_per
Kununuliwa kwa bei rahisi

@NjauKingOG
jipeleke wewe

@Mnyamaa3
Bora yatupite tu hayo marekebisho yetu wazee

@Hassan83560607
Huyu nae anafirwa

@jimmyjones__
@LembrusMchome 😀😀

@MtanganyikaMtz
Mnarudia script ileile ya uchaguzi, waacheni tena nje

@iamtonnyfrank
Let me be silent












