Sensitive content

This media may contain sensitive content.

Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Heheheheheheheheheheh

59,819 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 1

Фото профиля Iwan Effendy
Iwan Effendy1 год назад

Wow . . .

Похожие видео

Kami´s secret 🦎
1:05

Sensitive content

Kami´s secret 🦎

VitzyPie

1,192,557 просмотров • 3 дней назад

Tuliyaomba sana Maridhiano ya Kitaifa kwenye utawala wa Magufuli, tukakataliwa, Lakini kwenye utawala wa Samia hatimaye tukayapata. Tukashiriki maridhiano kwa mwaka mzima, Katika sehemu ya madai yetu tukapata machache ambayo ni: 1. Kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa, 2. Kurejea kwa Wanasiasa waliokuwa uhamishoni, 3. Kufunguliwa kwa mikutano ya hadhara na shughuli za kisiasa, 4. Kufuta kesi zote za kisiasa. Lakini upande wa Samia ukakataa madai muhimu ya Chadema yaliyokuwa mezani ambayo ni 1. Katiba Mpya 3. Tume huru ya Uchaguzi 4. Kuwawajibisha waliompiga risasi Lissu 5. Kuunda tume ya uchunguzi wa mauaji na kupotea kwa watu. Nk…. Chadema tukaamua kujitoa na kurudi kwenye maandamano, tukafanya maandamano mikoa kadhaa na tukarejea kujenga chama ambacho kwa wakati huo kilikuwa kimefutika kabisa kwenye matawi na baadhi ya kata. Kazi hii ya ujenzi wa chama imekwenda sambamba na uchaguzi wa chama kuanzi kwenye matawi, kata, Wilaya, Mikoa na Kanda! Na tukiwa tunasubiri uchaguzi wa Chama Taifa, Tukaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ambapo chama kilifanikiwa kusimamisha wagombea 98% nchi nzima, Kisha serikali kwa hila ikaondoa watu wetu na kubaki 34% tu ndio wakapitishwa kugombea, Kama hiyo haitoshi, Serikali hiyo haikuridhika, ikapora uchaguzi hata wale 34% wakaporwa ushindi wao na ccm ikajipa ushindi wa zaidi ya 99%….. Sasa tunasubiri kuingia kwenye uchaguzi Mkuu wa Chama Taifa, Sisi Wanachadema tuko tayari kuchagua viongozi wetu, Lakini watu wanaoaminika ni wanachadema wanakishambulia Chama hadharani na sirini kwakutumia mgongo wa kupinga maridhiano, ambayo viongozi wote walishiriki kuyaomba na wakashiriki kuyazungumza! Nitoe rai kwa Wanachadema, Chama chetu na Viongozi wake wakuu (Mbowe, Lissu, Mnyika na manaibu Katibu) hawa tutawalinda kwa maslahi ya Chama! Sisi kama Wanachama, Yeyote anayetafuta uongozi kwakuungwa mkono na maadui zetu ccm huyo sio mwenzetu, Yeyote anayetafuta uongozi kwakushambulia viongozi wenzake, huyo sio mwenzetu! Yeyote anayegeuza mkuki kwetu huyo ni adui! Tutapambana nae sawasawa na tunavyoshughulika na maccm haijalishi ni kiongozi wa kitaifa ama ana heshima gani katika taifa! Hatuna chama kingine mbadala nchini, hiki chama lazima tukilinde kwa wivu mkubwa, Dola iko kazini kuhakikisha chama kinaanguka na kufutika, uzembe wetu kidogo tu utakigharimu chama chetu! Chama kwanza mtu baadae! Na Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

26,311 просмотров • 1 год назад