Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Here we go. BBT component 2- BBT Financing ☑️ tunaendelea #BajetiYaWakulima

15,382 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Paschal sam
Paschal sam2 лет назад

Haya malengo ya BBT ni mazuri mno Kwa mustakabali wa kilimo chetu endepo yakifanikiwa. Hivyo juhudi ziongwezwe kutatua Kwa haraka changamoto ndogo ndogo .. #BajetiYaWakulima

Фото профиля KARTAL AFRICA
KARTAL AFRICA2 лет назад

Kaka, TABORA inahitaji kituo cha NFRA, pia wakulima wanahitaji kujua bei ya mahindi & mpunga anbayo NFRA watanunulia

Фото профиля Hussein M Bashe
Hussein M Bashe2 лет назад

Tumepokea Kaka

Фото профиля Tunibo Rich
Tunibo Rich2 лет назад

Sema bash uwa nakuelewa Sana mzee baba

Фото профиля Hussein M Bashe
Hussein M Bashe2 лет назад

Shukrani sana Mzazi

Фото профиля Mr.Mbolea
Mr.Mbolea2 лет назад

Hongera sana waziri @HusseinBashe for incredible performance in this industry .

Фото профиля Michael
Michael2 лет назад

Mheshimiwa huu mpango wa BBT Vipi kuhusu sisi wafugaji (kuku)?

Фото профиля Tunibo Rich
Tunibo Rich2 лет назад

Ipo vipi kwa mkulima kuusu namba ya luzuku yakuchukulia mbolea uyu mwananchi akiipoteza iyo namba kwa baati mbaya kuipata inakuaje waziri🙏

Фото профиля Bin khamis kilato
Bin khamis kilato2 лет назад

@HusseinBashe mm ni kijana,nina ardhi ya heka 4,sina ujuzi wa kilimo kabisa japo nimelimisha vibarua mwaka jana mihogo heka moja nimevuna tayari, Nahitaji nijiendeleze kweny kilimo na nijikite huko,ni hatua gan za kuchukua nifikie lengo au ni wapi naweza pata msaada zaidi?

Фото профиля Msomi Khan
Msomi Khan2 лет назад

#BajetiYaWakulima

Похожие видео