Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

He's not OK! 😢

199,821 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 31

Фото профиля Yuda Iskariote🇹🇿
Yuda Iskariote🇹🇿3 лет назад

Msimcheke jamaa hapo bado ana wenge la ajali. Nakumbuka nlivokuwa kwenye mradi wa barabara kuna mwanangu alipata ajali ya gari sio mbali sana na eneo la site kama km1.3 hv... jamaa kwa wenge alitembea akarudi site kachukua chepe kaanza kazi. Kumbe kavunjika mbavu asijue😂😂😂

Фото профиля lasttycoon
lasttycoon3 лет назад

Ajali mbaya jmn 😂 daah sikien tu haya mambo, nilikulaga mzimga mmoja na gari ilikua nikilala mtu akiangusha ata kijiko nakurupuka kama chizi

Фото профиля MARGARET MORGAN
MARGARET MORGAN3 лет назад

Nachowapendeaga hawa jamaa hawakuligi kushindwa jamaa kaumia lakini bado mikwara ipo pale pale

Фото профиля 𝔧𝔧-𝔟𝔞𝔪𝔞 𝔦𝔫𝔱.🦨🌐
𝔧𝔧-𝔟𝔞𝔪𝔞 𝔦𝔫𝔱.🦨🌐3 лет назад

Nasemajeeeeeeeeeeeeeeee "Acha nimalize wewe....." 😄😄😄

Фото профиля Dr.Francis Melkior Chuwa🩺
Dr.Francis Melkior Chuwa🩺3 лет назад

Aisee...Mavokah anatakiwa apigwe manitol😂

Фото профиля Samadebe
Samadebe3 лет назад

Niliona hii ajali eneo la tukio muda mfupi tu baada ya kutokea.Nimejifunza kuwa tusave majina ya ndugu zetu kwa uhalisia wao, tujue kutumia simu ikiwa na password for emergence call, sisi binadamu thamani yetu ni uhai tu na serikali bado ina kazi kubwa ya kuwekeza kwenye uokozi

Фото профиля OfficialPcM
OfficialPcM3 лет назад

Daah! Mpaka nimwcheka kwa sauti😂😂. Inawezekana jamaa tangu apate ajali fishi halijakaa sawa

Фото профиля Mpale Mpoki
Mpale Mpoki3 лет назад

Angeambiwa aoneshe tiketi yake ya kupanda basi hilo hii clip isingerushwa kabisa. Huyu hakuna abiria kabisa. Haiingii akilini kwamba kwenye ajali ambayo watu 12 wamefariki na kadhaa kujeruhiwa, tunapata testimony ya namna hii

Фото профиля Robinson
Robinson3 лет назад

He is bro, sema kiwewe na haamini kama yuko salama.. ogopa unapata ajari unaona maiti za wenzako hapo na unatakiwa uziruke ili utoke

Фото профиля Ms Bee🌹
Ms Bee🌹3 лет назад

🤣🤣🤣🤣😊🤣😊🤣😊😊 sina namna🤣🤣🤣🤣

Фото профиля Nyota Iangaze
Nyota Iangaze3 лет назад

Head injury, immediately x-ray/MRI/city-scan should be performed to ensure there is no more brain damage/internal bleeding 😎

Фото профиля Mzee wa Makamo
Mzee wa Makamo3 лет назад

Aisee ana maelezo mengi htr stiki,siment,gar 1,gari ya 2 Acha nimalize ww

Фото профиля MWANAKIJIJI 💊💉
MWANAKIJIJI 💊💉3 лет назад

Dishi limeyumba kidogo sema yupo sehemu salama watalikekebisha

Фото профиля Kijukuu cha mfalme.
Kijukuu cha mfalme.3 лет назад

Mambo ya kuwahiji wagonjwa jamani hii nchi.Up date za kijinga jinga watu hata akili haijamrudi dah!

Фото профиля SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO3 лет назад

@omniscraper

Фото профиля 𝗘𝗟𝗧𝗢𝗡 𝗡𝗚𝗘𝗡𝗗𝗔
𝗘𝗟𝗧𝗢𝗡 𝗡𝗚𝗘𝗡𝗗𝗔3 лет назад

Ila bongo bhn kuna usenge mwingi sana hebu @JrEriadi @AdamKataze @GidionWilly @__crinton @charlesfidel5 😂😂😂 huyu msenge mnamueka Wapi

Фото профиля Dr Sam Insights
Dr Sam Insights3 лет назад

@kadutu_rayson akijaribu kuelezea pathological condition from the radiographic picture kwenye mtihani

Фото профиля Edmund Ntiba
Edmund Ntiba3 лет назад

Acha nimalize wewe😅😅

Фото профиля natanaeliw
natanaeliw3 лет назад

Kwanini wanamrecor wakati hayupo sawa Hii sio sawa

Фото профиля Yohan🎅🎅🎅#MzeewaNdege
Yohan🎅🎅🎅#MzeewaNdege3 лет назад

Nikajua pigo za shujaa Majaliwa🤣🤣🤣Tulia nimalize wewe

Фото профиля Jonathan Leodgard's Mihyo 🇹🇿
Jonathan Leodgard's Mihyo 🇹🇿3 лет назад

"Acha nimalize wewe" 😂😂

Фото профиля Mrembo
Mrembo3 лет назад

Mungu nisamehe lkn nimecheka sana 😂🤣 nadhani ni mshtuko wa ajali 😂nampa pole sana 🤣

Фото профиля Malima
Malima3 лет назад

Huenda Ajari Imepeleka Dish Mlama...... 😕

Фото профиля Jackson Haule
Jackson Haule3 лет назад

Acha nimalize nyie

Фото профиля Muha
Muha3 лет назад

Huyu ni poti amini kwamba ni mzimaaa

Фото профиля Nurse Saphia
Nurse Saphia3 лет назад

🤣🤣🤣 ukicheka tu motoni

Фото профиля Ba'mdogo
Ba'mdogo3 лет назад

@zainabunassoro2 njoo uone 😂😂😂 nacheka kama vile mazuri..

Фото профиля Dr Sulley, MD👨‍⚕️🩺
Dr Sulley, MD👨‍⚕️🩺3 лет назад

Huyu hayuko sawa kwel,.. 🤔🤔 Bado akili haijarudi mahala pake

Фото профиля baba_voss
baba_voss3 лет назад

daaa mkisema msukuma nawablock 😅😅😅

Фото профиля NOBODY 😎
NOBODY 😎3 лет назад

@itsjuliemartin_ @Mlaninn @mscarolchelsea @irodgerz

Фото профиля Benie
Benie3 лет назад

imagine anaumwa hapo, akiwa mzima je😂🙌

Похожие видео

Is Elsa ok😢😭
0:34

Sensitive content

Is Elsa ok😢😭

Bongekile Mthembu🇿🇦

729,942 просмотров • 20 дней назад