Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hii mechi ishakuwa ngumu !!😀
58,392 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 9

Huku aman tu Tutawapiga Magoli sio chupa za maji

Hacha waanze mandalizi ya kujikaanga wenyewe kabla ya kukaangwa rasmi J"pili na #WenyeNchi

Hawa tunaishi nao tu hata iweje

Wameogopa Kupigwa 😂😂😂

Wewe na hao mwanasport mnakurupuka hao bodyguard ni watz wamekod na wamewapa masharti lolote listokee kwa wachezaji wao na wamelipwa vizuri tu. Mnataka kutuaminisha uongo kuwa wametoka Libya?

Hapa ndo tunapo anzia Ku fell watanzania, Sisi tukienda huko tunafanyiwa vurugu Ila wao wakija Huku wanafanya watakacho nchini mwetu uhuru Wa kuwa mtanzania uko wapi?

Mpira unachezwa ndani ya uwanja,hauchezwi na mabodgurdy...aliyefanya home work na maandalizi mazuri ndo atakayeshinda...ila 100%simba ana shinda...ni kauli ambayo mamluki wote waliopo wasafi kwa kimvuli cha uchambuzi inawauma sana.

Kivipi yaani au na wewe ndiyo wale wanaomini kwamba ukifungwa na @SimbaSCTanzania @ahmed__ally umefanyiwa figisu Acha kuwaza upumbavu mpira ni uwanjani na mtu akishindwa uwanjani ndio analeta visngizio vya uongo Ila msisahau mechi itakuwa live hapa

Yanga wameamua kuwapokea Waarabu
