正在加载视频...
视频加载失败
Hii ngoma itachuja lini?
49,854 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

MTWARA BOY.2 年前
Ina wiii mbili tangu itoke halafu unaulizia kuchuja kaka!!??

wakuja2 年前
😂

Col.Mtanzania2 年前
Huyu jamaa ndio alijiunga na Jeshi la wananchi? Na alimuoa Farida

wakuja2 年前
I think so

BOWEN WA WESTHAM🕯️2 年前
Kizazi Cha kina chino hakitaijua hii

wakuja2 年前
@luvandalugano47 Hata waite Polisi hawaijui

Cyril2 年前
Jana tu nlikuw naigonga geto 💥

wakuja2 年前
Ngoma Kali sana

Mbilinyi J2 年前
Directed by @MeckyKaloka

Kaitlyn Tong2 年前
Nakupenda Hip-Hop

wakuja2 年前
Zaidi ya washikaji wangu wa kitaa acha tunaokesha nao baa
