Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Hii ni kwanini....???
10,564 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 28

Jibu Nirahisi Wakriisto Wanavumilia Sana Shida Na Adhabu Na Machungu Wanayo Yakuta Kwenye Ndoa Ila Waislamu Hawawezi Kuvumilia.Kwa Sababu Katika.Machungu Yanaweza Kuwa Yanapinga Na Dini Kwaio Tatizo Linakuwa Ni Ndoa Kufa

jibu ni kwamba ndoa nyingi ni kwasababu ya ramadhan futari na uji kupikiwa na kupeleka moto mwezi ukiisha gudubai

Kwasababu katika Uislamu kumeruhusiwa kuachana, hakuna unafiki wa kuishi na mtu bila ya mapenzi, yaani Uislamu umenyooka

Nikweli Kabisa Kabisa Tena %1000000 Kwenye Uislamu Mtu Akizini Nje Mume Akichepuka Au Mke Ushaidi Ukapatikana Ndoa Ruksa Kufa Katika Uislmu Mume Amekuoa Alikuja Akakuambia Kuwa Hanywi Pombe Avuti Sigara Kisha Banda Ya Kukuoa Ukaja Ukajua Ni Mlevi Hasali Anakunywa Pombe Ruksa Kudai Taraka Na Ndoa Inavunjiaka Katika Uislmu Kazi Ya Kupika Kufua Siyo Lazima Kwa Mke Hutakiwa Umshurutishe

Kwa sababu unafiki kwenye uislamu ni haramu huezi ishi na mtu humpendi na pia tumeruhusiwa kuongeza unatoa gear namba moja unaeka namba mbili kuna shida gani sasa hapo halafu amejikaza na kibarakashee chake cha kulia ubwabwa wa maulidi

Ndoa inataka furaha, mapenzi na masikilizano, kama hakuna mapenzi na hakuna masikilizano kinachobakia ni kuishi kinafiki, maana halisi ya ndoa inaondoka, kwanini msiachane sasa mnabakia kuishi kinafiki kumfurahisha nani?

Mbon mim wazee wangu mpk leo hawajaachan

Kwenye Uislamu Mume Au Mke Hataki Kusali Ndoa Unaweza Vunja Kwenye Uislmu Ulimwambia Mwanamke Au Mwanaume Una Miaka 20 Ammeoana Mwezio Anakuja Kujua Ulimdanganya Una Miaka 50 Ndoa Unaweza Vunja Inakubalika Kwenye Uislmu Mume Au Mke Akikunyima Unyumba Ndoa Unaweza Vunja

Siyo Kweli, za KIKRISTO huwa zishavunjika muda sana sema ile process ya kudai talaka ina Mlolongo mrefu ukilinganisha na Waislamu.

Easy come easy go. Kama unaweza kuoa tu bila kupitia courtship, bila ndoa kutangazwa kuhakiki hakuna cheating na unapewa urahisi sana kutoa taraka kwa nn ndoa idumu?

Kule ni pingu za maisha huku ni ndoa ndoano

Ndoa sio kifungo

Kwenye Uislamu Ndoa Siyo Pingu Za Maisha Ukiona Ndoa Inakupa Adhabu Ruksa Kutoka

MIMI NINGEKUWA MUISLAMU UKIJA MWEZI RAMADHANI KUOA KWANGU SIKUPI MTOTO🙄 YANI NITAKUFUKUZA🥹 WEWE UNAOAJE MKE WA FUTALI NA DAKU.🙄

MUISLAMU MWANAUME AMERUHUSIWA KUOWA AKITOKA TU KWENYE MAZISHI ENDAPO MKE WAKE AMEFARIKI ILA MWANAMKE ALIYEFIWA NA MUMEWE ANATAKIWA AKAE MIEZI MINNE NDO APATE AMPENDAE🙄 KWA LUGHA LAHISI NDOA YA KIKRISTO INAWEZA KUWA NDOANO KWA MWANAMKE ILA KIISLAMU NI KITANZI KWA MWANAMKE

Ni kwa uislamu pekee unaweza kuwa na watoto sita wa mama tofauti ulio oa na kuacha. Hatuna masihara kbs

"kilichopatikaka kirahisi hupotea kirahisi"

Tatizo Huwa hawapo serious na maisha siku zote

Wakristo ndoa inavunjika mapema tu ila wanajifanya wanabadikishana vyumba we ushawah ona wap eda miaka 6

Wafiraji wengi wanawake wengine hawajazoea bata batani

7bu wanawake wanadai sana talaka

Process yake ni ndefu,yenye fedheha na gharama lukuki.

Kwasababu zenyewe ni rahisi kufungwa ndio maana ni rahisi pia kuvunjika

Inaruhusiwa ku publish hii research yako boss 😁

Wakiristo hususani Roman Catholic kwenda kuvunja ndoa Kanisani ni kipengele hadi mnaamua tu mrudi nyumbani muendeleze maisha yenu 😂😂😂

Ndoa sio Adhabu.

Sasa ndoa inafungwa kwenye mkeka kwanin isivunjike

Kwa hiyo unataka kuzidumisha

