Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Hii nisingerudi tena!!🙌

56,104 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Nathankambaine
Nathankambaine1 год назад

Vaa nguo ambayo nitakutambua haraka nisikuchanganye

Фото профиля Mabala
Mabala1 год назад

🙌

Фото профиля Yeezus Alfredo
Yeezus Alfredo1 год назад

Kama Mungu wa huyo mchungaji anaweza tu kutaja matatizo ya watu bila kutoa suluhisho ni takataka kama taka zingine tu

Фото профиля Richard
Richard1 год назад

Nimependa mwamba alikuwa anajua ni drama tu ndo maana hana waiwasi wala mashaka yyote snatafuna zake jojo tu.

Фото профиля Mabala
Mabala1 год назад

🙌

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

take the journey

Фото профиля Khan
Khan1 год назад

Hahahaha...😀😀😀 Hi ni cheap politics ktk dini. Tone ya jama anavyojib maswali baada y kusimangwa is very likely alipangwa before the scene.

Фото профиля ommy ommy ni ommy
ommy ommy ni ommy1 год назад

Huyu si ndo alisema mwez april hatitakuwa na nguv za kiume

Фото профиля Mabala
Mabala1 год назад

Yeaha 🤣🤣

Фото профиля tiba asili
tiba asili1 год назад

hii michezo hii mamae watu wwnajikuta kina Yesu kabisa😂😂

Фото профиля Democracy
Democracy1 год назад

Mzee hao wahuni tu wanapangana. Hapo jamaa anaonekana kama surprise ila alishapangwa baada ya ibada wajinga washadanganywa anaibuka na kibunda chake. Ni kweli watu wanafanyiziwa ila hawezi kutudanganya eti kaoneahwa tu.

Похожие видео