Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Hii story inasikitisha sana.

90,819 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Biubwa Omar
Biubwa Omarvor 1 Jahr

Nchi yetu bado inatakiwa kufanya juhudu zaidi, katika aina ya watu hawa disability , ambao wana uwezo mkubwa bado wa kusaidia taifa. Kama miundo mbinu ingekua rafiki pia sehemu ambayo anaishi na kuweza kutembea, hata kwenye public transport na kigari chake

Profilbild von Isabela
Isabelavor 1 Jahr

Hakuna namba yake tumtumie chochote kitu kwaresma hii??

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

take the journey

Profilbild von Man2Man
Man2Manvor 1 Jahr

Hawa ndo watu wa kusaidiwa jamani..ila pesa ndo zinamilikiwa na machawa

Profilbild von Wabi Sabi
Wabi Sabivor 1 Jahr

Kwani hawezi kua afisa elimu akiwa mlemavu why? Inasikitisha

Profilbild von MAGRETH MASHAURI
MAGRETH MASHAURIvor 1 Jahr

Huyu wangemtoa kufundisha darasani wakamupa kitengo huko halmashauri hata masijara kuliko kumuacha darasani anasumbuka na chaki tatizo watu hatuna huruma.

Profilbild von Wise Man
Wise Manvor 1 Jahr

Moja ya right ya "Human Right" katika kazi ni "right/duty to acommodate" hapa ndipo shirika linatakiwa lipige kelele na kusaidia watumishi ila akitukanwa feminist linakuna na waraka mrefu kuliko ule wa maaskofu Pumbavu zenu "Human Right Tanzania"

Profilbild von Mkulima
Mkulimavor 1 Jahr

Lkn bado ni mwalimu, mbona analipwa kama day worker??

Profilbild von M A G I R I
M A G I R Ivor 1 Jahr

Ni mwalimu ndio, lakini pesa ya mshahara haitoshi.

Profilbild von Nchomari
Nchomarivor 1 Jahr

Kwan hawez kuendelea kuwa afisa elimu na ulemvu wake huo

Profilbild von Rahab Mbise
Rahab Mbisevor 1 Jahr

I hope president @SuluhuSamia will see this and accelerate action towards helping him 🙏🏿

Ähnliche Videos