Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Hii ukweli wengi hawataki usikia.

66,928 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

10 Yorum

A man of the people profil fotoğrafı
A man of the people1 yıl önce

Maisha Tz ni rahisi kuliko UK kwa Muingereza kwa Mtz UK maisha ni rahisi zaidi nisikilize mimi 😀😀😀

steven mshumbusi profil fotoğrafı
steven mshumbusi1 yıl önce

Uju Aaache kutanganya watu hapa au uKo UK anaishi pekeyake. .ulaya pagumu kama ufanyi kazi hapa kwetu hata izo kazi hakuna

Gasto Mg profil fotoğrafı
Gasto Mg1 yıl önce

Sio kweli bro Acha kuwadanganya watu ukiwa haujawahi kuishi UK. TZ maisha magumu unaamka hauna uhakika wa lolote ata ukiumwa hauna uhakika wa matibabu. UK unauhakika wa matibabu, makazi na uhakika wa kupata pesa kuendesha maisha ila kusave kwa maendeleo ndio ngumu.

Mr_AfroDiallo™ 🐦 profil fotoğrafı
Mr_AfroDiallo™ 🐦1 yıl önce

Ukifanya ulinganishi wa vitu vinavyouzwa uk na Tz lazima uone Uk kugumu ila unakuta mtu uk analipwa pound 2500 kwa mwezi kwa kazi ya pound 180 Tz ulaya ukichapa kazi na una ujuzi huezi ona maisha magumu Tofauti na Tz hata uwe una ujuzi unaeza usipate maokoto au kazi

Khaled Emms Ponera 🇹🇿🇿🇦 profil fotoğrafı
Khaled Emms Ponera 🇹🇿🇿🇦1 yıl önce

Kuna vijana wa CDM walikuwa wanasema wakenya wana maisha mazuri kuliko Tanzania. Nikashangaa, ila leter on nikagundua hawajawahi kutoka nnje ya nyumbani....

Kazinja Medard Rwelamila Gerald profil fotoğrafı
Kazinja Medard Rwelamila Gerald1 yıl önce

Sio kwa Mtanzania wa Kawaida ! Watanzania wengi ambao wanaenda Nje ya Nchi maisha yao ni above average, na hata wanakuja huku kama ‘expert’ hawawezi pitia ambacho Mtanzania wa kawaida anapitia..!! They can say tat !!

GIDEON LULABUKA profil fotoğrafı
GIDEON LULABUKA1 yıl önce

Umasikini wao hasa sio pesa. Ni utu ndio hamna huko. Sisemi ni matajiri, lakini maisha ya tz na huko bado yatabaki kuwa tofauti maana kila kitu kimepangiliwa. Ukiingia katika mfumo wao kila kitu safi. Ukiwa nje ya mfumo basi utateseka. Mfumo: Kazi Nyumba na vibali.

Licado profil fotoğrafı
Licado1 yıl önce

Akifika tu siku ya 1, atagongewa mlango, wakimhitaji atoke nje.

Hussen Amidu profil fotoğrafı
Hussen Amidu1 yıl önce

Kama tunavodai tume uhuru ww unapiga kwasababu ww nichawa naheche akisema kunawatu wanataka kunikamata bila kosa ww hubisha ila Leo ww unasema maneno haya au leo ndoumejuwa

Ludovic Sebastian. CO profil fotoğrafı
Ludovic Sebastian. CO1 yıl önce

Gari la $1000 Japan Huku ni $7000

Benzer Videolar