Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Hii ukweli wengi hawataki usikia.

66,933 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von A man of the people
A man of the peoplevor 1 Jahr

Maisha Tz ni rahisi kuliko UK kwa Muingereza kwa Mtz UK maisha ni rahisi zaidi nisikilize mimi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Profilbild von steven mshumbusi
steven mshumbusivor 1 Jahr

Uju Aaache kutanganya watu hapa au uKo UK anaishi pekeyake. .ulaya pagumu kama ufanyi kazi hapa kwetu hata izo kazi hakuna

Profilbild von Gasto Mg
Gasto Mgvor 1 Jahr

Sio kweli bro Acha kuwadanganya watu ukiwa haujawahi kuishi UK. TZ maisha magumu unaamka hauna uhakika wa lolote ata ukiumwa hauna uhakika wa matibabu. UK unauhakika wa matibabu, makazi na uhakika wa kupata pesa kuendesha maisha ila kusave kwa maendeleo ndio ngumu.

Profilbild von ๎จ€Mr_AfroDialloโ„ข ๐Ÿฆ๎จ€
๎จ€Mr_AfroDialloโ„ข ๐Ÿฆ๎จ€vor 1 Jahr

Ukifanya ulinganishi wa vitu vinavyouzwa uk na Tz lazima uone Uk kugumu ila unakuta mtu uk analipwa pound 2500 kwa mwezi kwa kazi ya pound 180 Tz ulaya ukichapa kazi na una ujuzi huezi ona maisha magumu Tofauti na Tz hata uwe una ujuzi unaeza usipate maokoto au kazi

Profilbild von Khaled Emms Ponera ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
Khaled Emms Ponera ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆvor 1 Jahr

Kuna vijana wa CDM walikuwa wanasema wakenya wana maisha mazuri kuliko Tanzania. Nikashangaa, ila leter on nikagundua hawajawahi kutoka nnje ya nyumbani....

Profilbild von Kazinja Medard Rwelamila Gerald
Kazinja Medard Rwelamila Geraldvor 1 Jahr

Sio kwa Mtanzania wa Kawaida ! Watanzania wengi ambao wanaenda Nje ya Nchi maisha yao ni above average, na hata wanakuja huku kama โ€˜expertโ€™ hawawezi pitia ambacho Mtanzania wa kawaida anapitia..!! They can say tat !!

Profilbild von GIDEON LULABUKA
GIDEON LULABUKAvor 1 Jahr

Umasikini wao hasa sio pesa. Ni utu ndio hamna huko. Sisemi ni matajiri, lakini maisha ya tz na huko bado yatabaki kuwa tofauti maana kila kitu kimepangiliwa. Ukiingia katika mfumo wao kila kitu safi. Ukiwa nje ya mfumo basi utateseka. Mfumo: Kazi Nyumba na vibali.

Profilbild von Licado
Licadovor 1 Jahr

Akifika tu siku ya 1, atagongewa mlango, wakimhitaji atoke nje.

Profilbild von Hussen Amidu
Hussen Amiduvor 1 Jahr

Kama tunavodai tume uhuru ww unapiga kwasababu ww nichawa naheche akisema kunawatu wanataka kunikamata bila kosa ww hubisha ila Leo ww unasema maneno haya au leo ndoumejuwa

Profilbild von Ludovic Sebastian. CO
Ludovic Sebastian. COvor 1 Jahr

Gari la $1000 Japan Huku ni $7000

ร„hnliche Videos