Loading video...
Video Failed to Load
Hii video mmeiyona lakini?๐ค๐ญ
24,306 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

Pingu halafu kipigo cha mmbwa Koko police wake wakane na hii halafu watupe na ufafanuzi nani na nani ana ruhusiwa kumiliki pingu na kwa,kigezo kipi aseeeeeee.

Wamemuua halafu kumbe siye aliyeiba. Hii inatufundisha ukipita sehemu ukikuta mwizi anapigwa basi tafakari kwanza kabla kuingia na wewe kupiga

Inatia hasira aisee unaweza kujikuta unapigana na aliyekaribu yako kama analeta ujingaujinga. Hiyo clip inakwaza sana kibinadamu haikubaliki, unamuuwaje mtu kwa kipigo hicho umemfunga na pingu? ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ.

Huu ni ukuma kmmk Yana kama hatujapata uhuru kmmk kmmk

Kuna siku isiyo na jina tutaongea luga Moja ๐๐๐๐

Siku zote ukitaka kujua mtu mjinga mwangalie yule alie katili , akili yake anaipa ukomo wakufikiri na kua myama. ( ndo maana watu wapole wengi hua na akili, ile hisia na fikra ya unyama hawaoni tija yake kama itatoka nje ya uwanadamu wao)

Hivi Tanzania kuna sheria za kiraia kweli! Mbona naskia hawa ni viongozi wa serikali za mitaa kabisa kuna nini mbona tunafika huku mbali sana jamani mtu anasema mzee nielewe mzee anaendelea kutoa hukum kali kwanini?

๐

daah ๐ญ

Kwani shuda nini kaka na vyombo vyausalama vinakua na kazi ipi sasa maana utakuta waliofanya ivii wapoo tuu wanajisifu
