Hiii apa kudadek π₯ππΎ
@ThomzJoseph4.9K followers
48,894 views
48 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@mfinanga_j
Hivi ni mimi tu ndo sijawah ona utamu wa huu mchezo??? Yani sijawah kuuelewa hata kdg
6 likes

@ThomzJoseph
Ni wewe tuu, nim noma sana huu
7 likes

@mfinanga_j
I blive...tumetofautiana hobbies

@ThomzJoseph
Mfano mimi sijawahi kuelewa ngumkπ

@mfinanga_j
ngumk ni nini?

@ThomzJoseph
Ngumi mzeeπ
1 like

@Jafferson0075
Game ya Leo ilikuwa kali sana kuliko ya jana
4 likes

@ThomzJoseph
Yeyote alikuwa anashinda leo
6 likes

@GNdamallya
Hii moment ndo walienda review shot clock au?huyu Foster ni MTz...π€
3 likes

@ThomzJoseph
Ndio review shot clock ilikuwa
1 like

@MightBeKelvin
@carstin_x KmmmkππΎ
2 likes

@ThomzJoseph
@carstin_x Noma π₯
1 like

@sabi_blessed
@HamisiNkalami mzuka wa wanaokaaga bench ndo ulifanya nipende kucheza game la 2k
2 likes

@chric5247
Hv hizi game mnacgekia wap kaka
1 like

@ThomzJoseph
Hii ya leo niliangalia YouTube ya Elia Bennet lakini kuna jamaa kaniambia hapa unaweza check kwenye app Yao
3 likes

@chric5247
Pamoja familia

@rafaleaotz
Oya hawa ndondo wanatubeba kichizi πͺ
1 like

@the_animal99
Timu ya Tanzania halafu Ina Visit Rwandaππ
1 like

@ThomzJoseph
Visit Rwanda ameweka pesa kwenye hayo mashindano BAL kwa ujumla sio front kwenye timu zote zilizoshiriki
3 likes

@the_animal99
Anhaa kweli ndo nimeona na ya petro pia

















