正在加载视频...
视频加载失败
Hiki kilugha gani?
13,123 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

Latto 𝕏2 年前
Achana na huo "UTANI" wa cover page angalia Raisi wa KENYA aki-record Song ...😂😂 Video kwa comments 👇🏾👇🏾👇🏾

GERALD2 年前
Kwahiyo hii ndo studio kali kenya nzima🤣🤣

BRIYO MKADIBANGI 😤💨😎2 年前
Hit song unatoa wapi Mzee 😅😂

Jack2 年前
Wakale hao

Almas Hassani2 年前
Wazee wanaonekana meno tuu asee

lufufumkandala 💧2 年前
Ni cha wenyeji wa Central kenya .....Gikuyu people naibu raise ni mwenyeji wake

MWANASHERIA2 年前
Sema producer alikuwa anamaind Ruto naimba vibaya ila ndo ivyo kameza tu. 🤣🤣

Boss .com2 年前
Mbona wana fanana wote

jeepp _galig2 年前
Luo
