正在加载视频...
视频加载失败
Hiki nikipaji mabula 🤣🤣
9 条评论

Pompiduu1 年前
Sio kipaji si unamwona jamaa ni giant msosi lazima uwe heavy

Chief mapesa1 年前
Apo sawa kumbe kama mimi tu mimi mhindi anagoma kuweka option substution anajua ninamkula sana

Epa Mush1 年前
Kula sn co shida afanye kazi 2 mengine yanawezekana

kidume1 年前
Hawa ndio tunawataka wakatubebee mizigo yetu ya kuweka tumboni

Garnet1 年前
Hii ndio hamu yakula ninayotaka niwe nayo ila duh sjui nimepigwa laana

Orgarch1 年前
Huyu mshkaji tulikuwa tunakaa naae street Moja jamaa alikuwa ana miguvu sana vile vitu vizito vilivyo shindikana ambavyo watu mnashindwa kubeba anabeba yy mmoja jamaa alikuwa peaceful uzalendo fulltank

Swahili Troll1 年前
😂Wasukuma ukitoa kula wanabakia na nini?

ℍ𝕦𝕟𝕖𝕪 𝕓𝕦𝕕𝕘𝕖𝕣1 年前
Mwamba kabisa uyu 🤣🤣🤣

Sulei Ibnuiya1 年前
@DownloadNow
