正在加载视频...
视频加载失败
Hili Kofi Linaitwa "Back To Default" 😂😂 #SquidGame2
51,820 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

DG1 年前
At first niliwaza coz ni Netflix basi agenda ya Lgbtq lazima. Ila hili kofi itoshe kusema kuwa hata mwanaume abadili jinsia,aoteshe matiti hawezi kuwa mwanamke kamwe.. mtu kapigwa kofi la kiume.

MVUVI MOVIES 🍿1 年前
😂😂😂

Mis Technician 👩🏼⚕️1 年前
Lipo kwa wingi sana Nigeriaa.

MVUVI MOVIES 🍿1 年前
Nigeria ni mambo ya kawaida sana 😂

Denis Kawite1 年前
Uyu b mkubwa alikuw analeta mambo yake kwenye usiriaz 😃😃😃

MVUVI MOVIES 🍿1 年前
Watu wako kazini analeta masihara 😂

Frank1 年前
Analeta ulokore

MU-HIGHER.....1 年前
Huyu jamaa na rafiki ake mchizi fulani😂😂😂

MVUVI MOVIES 🍿1 年前
😂😂😂

Goodluck Temu_1 年前
Ungetulia kwanza niimalize.

MVUVI MOVIES 🍿1 年前
Sasa hako si kakipande kaka 😁
