Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

31,496 Aufrufe โ€ข vor 1 Monat โ€ขvia X (Twitter)

6 Kommentare

Profilbild von kitaojuliusi
kitaojuliusivor 1 Monat

Tozzi ya mpanda iyo daaah

Profilbild von Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jrvor 1 Monat

Tozi wazee wa Buy 1 Dar-Mpanda

Profilbild von Irigo
Irigovor 1 Monat

Majanga ya lorry yakitokeaga unakuwaga mpoleee

Profilbild von ULIZA MDUDESOKA
ULIZA MDUDESOKAvor 1 Monat

Shida ni vibarabara vyembamba kama njia ya watembea kwa miguu. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Kila Dereva anataka kuwahi mnakufa kweli kweli. #KatibaMpyaNiSasa

Profilbild von japhet mmbaga
japhet mmbagavor 1 Monat

Barabara isiyo na reserve ya kukimbilia naiogopa kama ukoma, saa ingine nawaza mainjinia waliwaza nini kuweka mamitaro mapana hivyo, na usomi wao kwanini isingikuwa na uwazi mdogo juu, ikaenda chini sana angalao ukitanulia huko gari Isitumbukie, kutumbukia ni ajali uliyoikimbia.

Profilbild von Kilwafinest ๐Ÿฆˆ
Kilwafinest ๐Ÿฆˆvor 1 Monat

Wanawake ni viumbe vya hovyo sana qmmk

ร„hnliche Videos