正在加载视频...

视频加载失败

Hizi TAKATAKA zimepanic 🚮

77,061 次观看 • 11 个月前 •via X (Twitter)

35 条评论

mndewa 的头像
mndewa11 个月前

Sheikh Ponda Issa Alikuwa anatoa press yake akiwa na reference kwenye Quoroan Tukufu hawa wanaongea tu bila kuwa na reference yeyote

💨mangi mkuu 的头像
💨mangi mkuu11 个月前

Wapumbavu hawa

RQ 的头像
RQ11 个月前

Bila shaka hao wametumwa na samia. msikilize uyu apa sheikh shafi

Tanganyika in blood 的头像
Tanganyika in blood11 个月前

Mashehe ubwabwa,kumbe ni bora wamejitambua,japo sio wote tumwache Ponda himself,na baadhi,nway nilitaka kusema hawa ni mashehe ubwabwa,njaa kali kuliko utu.

💨mangi mkuu 的头像
💨mangi mkuu11 个月前

Wapumbavu hawa waislam wako smart sana shida kile kikundi cha BAR_QWATA

@Kipchonge wa Konyo 的头像
@Kipchonge wa Konyo11 个月前

Au tuzichape kidini mwanza

💨mangi mkuu 的头像
💨mangi mkuu11 个月前

Kuzichapa kidini na kikabila haiwezekani kwa sasa tunashirikiana sana kwenye mambo ya kijamii mazishi, ndoa, magonjwa, tumeoana ni basi tu kuna WASENGE wako pale juu ndio wameshauri huu USENGE na hawatafanikiwa🤝

Zacksaiid 的头像
Zacksaiid11 个月前

Najiuliza maswali, hivi ukitoka hapo muda wa swala unasimama mbele ya Mungu unasemaje?? Watu hawamuogopi Mungu kabisa?

NOAH MOGERA 的头像
NOAH MOGERA11 个月前

Hapo ukimuuliza nini maana ya haki na nini maana Amani hajuwi hata ukimwambia atoe tofauti mbili kati ya haki na amani hajuwi hawa watakuwa wameonja utamu wa kitimoto wanatafta namna tu....

Bro.msela 的头像
Bro.msela11 个月前

@kilepi_tweve Hivi familia ya kiislam kila mtu anaweza kuongea kwa niaba yao? Mbona kama familia ya kambale sasa kila mmoja ana ndevu Yaani ma sheikh kila mmoja anakuja kuongea tu

Watoto mapacha 的头像
Watoto mapacha11 个月前

Namshukuru Mungu kwa kunipa uweza wa kuchuja taarifa.

shawa 的头像
shawa11 个月前

Mipumbavu imeungana kuongea upumbavu limechukua shuka limevaa kichwani period

Haki_kwanza 的头像
Haki_kwanza11 个月前

Wamepanic kwelikweli 😅😅😅

Dullahhk600@gmail.com 的头像
[email protected]11 个月前

Zime panic kwa mtindo huu?!

Athman MWINYI 的头像
Athman MWINYI11 个月前

Waisrael walikuw awako na maani kubwa sana mpaka ALLAH akamtuma Musa AKAWAKOMBOE maana walikuwa hawajijui kama wako katika utumwa wa milele. Nawaambia waganga wa IKULU wamepanic.

SAMWEL Mazengo 的头像
SAMWEL Mazengo11 个月前

Wameshafumgwa midomo na kibunda kizito hao

Bravehrt_Fastline_Lenovat 的头像
Bravehrt_Fastline_Lenovat11 个月前

Hii mitandao inayoposti hizi takataka dawa yamke nikuitupa tu. Hivi nivikundi ambavyo vimetengenezwa vije kuwatoa watz kwenye reli. Kwahiyo achen kuvipa mda

TheFurryLover1961💎 的头像
TheFurryLover1961💎11 个月前

Majinga haya msiyape airtime.

braveheart 的头像
braveheart11 个月前

Kinachofanyika ni attempt ya kutaka kutudevide kisha kututawala. Ila nahisi wamechelewa, adui wetu sote tunamjua ni suala la mda tu.

N Y O N Y O M A 的头像
N Y O N Y O M A11 个月前

Mdogo mdogo tunaenda wanapopataka twende; bila ya fikra na umakini wanatengeneza ugomvi wa kidini muda si mrefu ambao kuja kuuzima itakuwa shughuri kubwa sana.

𝓞𝓶𝓶𝓲𝓮~𝓖 🇹🇿. 的头像
𝓞𝓶𝓶𝓲𝓮~𝓖 🇹🇿.11 个月前

Boko Haram

Dullah The Therapist💙🐛 的头像
Dullah The Therapist💙🐛11 个月前

Inauma kuswalishwa na watu kama hawa

@mathukaonesmus78 的头像
@mathukaonesmus7811 个月前

Wapumbavu kutoka wapi hao

Lord Arch.Brighton Mtensa 的头像
Lord Arch.Brighton Mtensa11 个月前

Kapungue kwanza kaka

Dullahhk600@gmail.com 的头像
[email protected]11 个月前

Zile takataka na hizi nini,tutawapokea mtakavyokuja!

Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| 的头像
Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|11 个月前

Viongozi wa Serikali wasipokuwa makini tutaingia kwenye vita ya kidini na madhara ya Vita za kidini kila mtu anayajua

Mansa Moses 的头像
Mansa Moses11 个月前

Kweli kabisa

💨mangi mkuu 的头像
💨mangi mkuu11 个月前

Tatizo limeanzia pale walipochukua uvccm kuwafanya TISS ngoja tuone

Connex 的头像
Connex11 个月前

Takataka

Edson 🦅.🇹🇿🇹🇿 的头像
Edson 🦅.🇹🇿🇹🇿11 个月前

Nahuo ndio ukweli lakini kwavile hamjui ajenda zilizopo nyuma mtakuja kujua mmeshaumia sana. Amani ndiyo itawaleteeni Haki pekee

ankal 的头像
ankal11 个月前

Unapoelekea kubaya usimlaumu mtu

Elangwa Elangwa 的头像
Elangwa Elangwa11 个月前

Qur'an surah An-Nisa (4) aya ya 135 , "Enyi mlioamini, simameni imara katika uadilifu, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu au wazazi wawili na jamaa.

Oligarch _ 🇿🇦🇩🇪🇩🇰🇨🇭⭕️🎯 的头像
Oligarch _ 🇿🇦🇩🇪🇩🇰🇨🇭⭕️🎯11 个月前

Hao wasenge hata sio wa kuwapost,.... unachafua profile yako tuuu kupost hizo takataka

ORESHNIK 的头像
ORESHNIK11 个月前

Amani bila haki haitadumu.Heri angekua mtoto wake ndiye aliye uawa.

Kifefe 的头像
Kifefe11 个月前

Ila hawa jamaa zetu wa upande wa pili mtihani sana

相关视频