Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Hodi songwe

16,452 просмотров • 10 дней назад •via X (Twitter)

Комментарии: 13

Фото профиля E.N.I.G.M.A
E.N.I.G.M.A10 дней назад

@kwamekivaisi Leadership! Kongole Comrade

Фото профиля Mr.Pdm🙏
Mr.Pdm🙏10 дней назад

Kumbe upo unajilia mali za Umma kimya kimya mwanetu hongera sana.

Фото профиля MKATA UMEME
MKATA UMEME10 дней назад

Tuachie alama wilaya ya Songwe brother tuna dhahabu tuna ziwa Rukwa ila kuna umaskini ambao hata unaweza ushika kwa mkono, tazama hata barabara kuu ya kutoka Mbalizi hadi Mkwajuni. Umekuja wakati sahihi mtu wa akili nyingi 👏👏

Фото профиля Martin
Martin10 дней назад

Karibu bro,,tupo hapa chin uwanjan tunakusubr utoke tupge picha

Фото профиля Ngadu
Ngadu10 дней назад

Karibu sana wilaya ya madini

Фото профиля SUNGUSIA
SUNGUSIA10 дней назад

Badilisha bio mheshimiwa

Фото профиля International Herb
International Herb10 дней назад

Dimosheni au sio? Kwa nini haukuwi hata kuwa mkuu wa mkoa? Au uwezo mdogo? Maana sasa unasukumwa pembezoni kabisa

Фото профиля s@m peter
s@m peter10 дней назад

Karibu mpemba boss

Фото профиля IJM
IJM10 дней назад

Safi sana kaka

Фото профиля Seb™
Seb™10 дней назад

Umeongea vizuri mkuu. 🙏

Фото профиля SafariMlevi
SafariMlevi10 дней назад

Chalii niaje

Фото профиля Pendragon🔥
Pendragon🔥10 дней назад

Umeua wananchi Kibaha kumlinda mwekezaji.

Фото профиля InspiredByYou 🏛️
InspiredByYou 🏛️10 дней назад

Songwe hatukutaki

Похожие видео