Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

41,889 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

Huu uchaguzi tutaona mengi saana😅

Profilbild von miahcombat
miahcombatvor 1 Jahr

To My Daughter, Gift Her a Hug from Home. #daughter #mom #dad #parents #family #love

Profilbild von Alex Binde
Alex Bindevor 1 Jahr

Si uchaguzi umekaribia 🤣🤣 wangehamia Burundi sijui nani angekupa Kura🤣🤣🤣

Profilbild von Coat of arms.
Coat of arms.vor 1 Jahr

MTU AKIKWAMBIA UNA AKILI KAMA MWANACHAMA WA @ccm_tanzania PIGANA HADI KUFA.

Profilbild von kharry_de_prince
kharry_de_princevor 1 Jahr

Nani ulimpa kandarasi ya kuandika kwenye mawe kuwa wewe ni raisi?. Walilipwa kiasi gani naomba majibu ya haraka... Hapa ulitumia pesa zako za mfukoni au pesa za UMMA

Profilbild von Gmmytz🇹🇿
Gmmytz🇹🇿vor 1 Jahr

Mtu anaiba mamilion ya pesa sahz ndo wanaanz kuwaletea vitisheti vya kampen tapel wakubwa nyie

Profilbild von Ally hussen
Ally hussenvor 1 Jahr

Mwanaume anavaa kitenge kisa uchaguzi unakuja na wananchi yalivyo majinga yanajaa

Profilbild von Onesmo Gerson
Onesmo Gersonvor 1 Jahr

Safari hii utavaa mpaka gauni

Profilbild von Micky
Mickyvor 1 Jahr

Mheshimiwa wewe ni mbunge, waziri na boss wa SBS lakini kila ukienda jimboni kwako kwa wananchi unaenda na hilo tshirt !! Yaani ili wananchi wajue wewe na wao mna hali sawa kiuchumi eti !!.

Profilbild von Logic Analyst
Logic Analystvor 1 Jahr

Nchi hii Tusubirie Kudra za Mwenyezi Mungu tu. CCM Matapeli ,Chama tunacho kitegemea kibadilishe hii nchi kakabiziwa Ubaya Ubwela(Zilongwa Mbali zitendwa Mbali)

Profilbild von PE'RE JEAN
PE'RE JEANvor 1 Jahr

Mh. naona uko jimboni kwako ! Sisi mbunge wetu hajulikani yuko wapi mpaka sasa.