正在加载视频...
视频加载失败
Hotuba FULL YA CAPTENI TESHA. TUTAKUWEPO🫵😎
190,275 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
27 条评论

jasiri

Leo nimeongezwa kitu kikubwa mnoo ndani ya 🧠 wng siku zote nilikuwa nawaza mengi sana mbaya zaidi baba yangu anafuatilia malipo yake ya toka 1977 hadi leo haja lipwa. Halafu unakuta humu ndani kuna watu wanapush ujinga wa wajinga CCM ili walipwe 20k kwa niliyoyasikia leo

Naomba kujuwa jamani hii habari ni ya kweli?? Nakuja na sumu ya mamba Lita moja nitakuwa nayo kwenye maandamano

Wanaonufaika na haya tunayolalamikia wao wamekalia "HUYU NI TAPELI, ni AI, HAKUNA CAPTEN APO"... io sio isue ya msingi, isue ni anayosema ni "Ya UONGO" au ni" YA KWELI" baas, km ni ukweli hata ungesemwa na katuni, bado ni ukweli tu,

Mungu analipenda sana hili taifa...

Nawaambieni tu Watanzania kama huyu ni mwanajeshi kajitoa basi itambulike huyu mwamba hayuko pekee yake

@Liberatus80 hongera Hawa ndio JW, inafurahisha sana

Mzalendo wa kweli, nimerudisha Imani yangu kwa jeshi maana ilishapotea kabisa

Ok me ni mtu ninae amini katika kifo bora niko tayari kufa kwa ajiri ya kizazi changu

Milard Ayo Unatumika vibaya bila kujijua,Tunakuja Mkumbuke TESHA HAYUKO PEKE YAKE

"...... mpo na baraka zote kutoka kwa BABA WA TAIFA, MUNGU, KWANGU NA KWA WANAJESHI WENGI....." Captain Tesha 2025 ✍🏿🫡🫡🫡

Mungu yupo upande wetu, NoretreatNosurrender....#NoreformNoelection

Round wamekalia kaa la moto

hakuna mwanajeshi humu ni taperi tu

Ni kubaya Sana 🙌🙌🙌

NASIKILIZA UKU MOYO UPO 💥💥💥💥

Wachaga majasiri sana😁😁

@grok anasema nini humu ndani? Nipe vitu vikuu anavyovizungumzia?

Kwahiyo huyu content creator amekuwa captain wenu siyo

Hii nchi ina upinzani vilaza sana yani hizi propaganda za kiwaki ni kujitekenya wenyewe tu🚮🚮🚮

Ubarikiwe

Viva captain Tesha

Yo

@SuluhuSamia, @jmkikwete, @tanpol

@grok is this video of Captain Tesha genuine or AI generated?

Hamna loloteee ni matapeli tu

Nimemsikiliza mwamba kwa umakini mkubwa asubuhi imekaribia sana
