Loading video...
Video Failed to Load
How come Tsh imeimarika hivi? ๐คท๐พโโ๏ธ
10,379 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

Unaweza kuhisi kuna kitu wamefanya, kumbe na wao wenyewe hawajui ni nini kimetokea.

Nei ya kitu inategemea uhitaji wa kile kitu kulingana na upatikanaji. Uhitaji USD unaweza kuwa mdogo kulinganisha na uhitaji wa Tshs. Kwasababu dollar imeongezeka na watalii wanaohitaji Tshs. Na sheria za pesa za kigeni zimesimamiwa. Manunuzi ndani lazima yafanywe kwa Tsh

Sammy nimeangalia kshs, ugx kote nimeona same trend tunayoona hapa Tz. Could be Us federal wame lower interest rate.

Walioficha wanatoa, nadhani itarudi to arround 2500 au 2400

Interesting! Is it clear why wanazitoa saivi? Na nini kitasababisha wazirudishe tena? Naona leo imefika hadi 2280!

A fight against dollarization in economy, monetary policy announcements on the purpose to inject more dollar to economy led to shock among holders, behavioural economics (Future expectation), exports especially seasonal on cashewnuts lastly demand and supply tension currently.

@federalreserve ndio ameshusha interest rates by 25 BSP. Yaani from 4.75% to 4.5%, ikiwa ni sera ya America kupunguza inflation. Ndio maana popote pale duniani kwa wakati huu dollar imeshuka For more fuatilia: @business au @Reuters

Dollar ipo ya kutosha nchini automatic market force inasababisha appreciation ya tzs in term of usd.

Nilivyosoma nadhani ni tofuati na ilovyo masokoni, sababu shilingi ya Tz imepanda kwa kasi pia dhidi ya shilingi ya Uganda na Kenya, faranga za Rwanda na Burundi

Inaonekana hivyo, ndo maana tunatafuta elimu kwa wataalamu watusaidie kutufumbua macho juu ya sababu ya kuimarika huku
Related Videos
Sensitive content
Nani kafanya hivi? ๐ Eid Mubarak ndugu zangu
๐ฃ ๐ ๐ ๐ ๐ข ๐ฆ
45,112 views โข 1 year ago

