Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Huko Dodoma kumewaka mbaya.

134,002 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Ozabanga
Ozabangavor 1 Jahr

Aisha Madoga Unstoppable huyu akiwa Mbunge wa Dodoma atawatumikia vyema Wakazi wa Dodoma. She deserves to be in parliament

Profilbild von #TAL
#TALvor 1 Jahr

Hawa ndio viongozi tunao wataka sisi huyu dada tutatafuta namna ya kumpongeza kwa alichokifanya

Profilbild von Emanuel Muna
Emanuel Munavor 1 Jahr

Hawa akina mama wamenipa morali ya hatari, natamani kuingia barabarani hata peke yangu

Profilbild von Sir Major
Sir Majorvor 1 Jahr

Kesho tutasahau kilichotokea na maisha yanasonga kama kawaida. Waliolamba asali kukubali kuingia katika uchafuzi wa serikali za mitaa wanaweka miguu juu maisha yanaendelea kama vile hakuna kilichotokea!

Profilbild von T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️vor 1 Jahr

Wanaume wote mngekuwa kama huyu mama...hakika nzi wa kijan wangesarenda

Profilbild von Thesophist
Thesophistvor 1 Jahr

Tunahitaji kuwa na ujasiri kama huo .MACCM yanaogopa sanduku la kura kama kitanda change kunguni Ni itarahamwe fuck ccm

Profilbild von Kunta Kinte
Kunta Kintevor 1 Jahr

Chama kinachojinasibu kuwa kinapendwa na kimeleta maendeleo, lakini kinategemea kuiba kura, kuvuruga uchaguzi, na kutumia vitisho vya kuteka na kuua watu, ni aibu kubwa kwa taifa letu. Upendo wa kweli wa wananchi hauhitaji mbavu.

Profilbild von Tom
Tomvor 1 Jahr

Unakuta hapo huyo msimamizi wamemlaghai kwa vipande vya pesa hata milioni moja havifiki ila anauza wananchi wateseke kwa miaka mitano kmmk nchi hii wasaliti tunaishi nao mtaani so sad.

Profilbild von Mauwezo_Jr
Mauwezo_Jrvor 1 Jahr

Uyo askali mbona kapoa hivo apewe heshima anafata taratibu.🤣

Profilbild von Gobos
Gobosvor 1 Jahr

Huyu mama ni kiongozi haswaaa nmependa ujasiri wake

Ähnliche Videos