Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Huku Mwihoko military chopper is doing stunts
26,039 Aufrufe • vor 2 Monaten •via X (Twitter)
22 Kommentare

Mnanyunyiziwa hormones na mfuta ya taa mkuwe docile

😂

Alaa nilidhani inaenda

Me too but it hovered ao many times

Chombo cha Vietnam war, Bell Huey

Hio sio moshi. They are dispersing seeds coated with charcoal you can see it's coming from the cabin

Haiya sijui man educate me

Hizi ni seeds wanadisperse

Kwa hio field ama

Hii ndio ilikataa kuamka huko kajiado juzi? Inalia kama Tinga tinga

🥲😂😂

Watakuchukua asap ukianza hizi vako🤓

🤔

Hii ni Pythagorean theorem.

Hiyo corridor hutumika na KAF for training pilots

Someone's ash

Hapana bana, hizo ni tonner za HP wanamwaga kwa hewa ndio Homa isiishe. Wachawi

Hii ni ile bell huey type ilimaliza CDF?

Nmedhani wanamwaga ashes za watu wameua😂

Dispersing seed balls

Kuna kuwanga na some fenced land huko mwihoko but huwa empty...hapa ni hio place ?

Yes ni armory ya kahawa garisson

