正在加载视频...
视频加载失败
Humphrey polepole ✨
40,524 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
9 条评论

Mpenda haki@mzalendo wa kweli1 年前
Afu kuna vijinga vimeshinda njaa vinamwita rais wa Sasa kuwa ni professor wa siasa, wakongwe wanaona Mambo hayaendi Kama inavyopaswa 🤣🤣

Bony 📚1 年前
✨ acha tu kaka

Humphrey!1 年前
Polepole hua ni mzuri sanaa akitokea pembeni

Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|1 年前
Huyu ni shetani anayejaribu kuwa malaika umesahau alichotufanya kwenye utawala wa jiwe tena alikuwa anachekelea meno 32 yote nje alikuwa anatulingishia V8 huyu tena akirudi Nchini wamuweke ndani kabisa

Shize real1 年前
Anakwambia but Mimi npo vizuriii

kenster1 年前
@Sativa255 madini haya😂😂😂

Bony 📚1 年前
@Sativa255 😂😂😂

K.moe✌️1 年前
@OfficialKyejo "Mimi niko vizuri asikwambie mtu"😂😂🔥

chief abunu wasi1 年前
Hapo kwenye zengwe ndiyo nakumbuka la D. chongolo😂😂
