Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

72,920 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Mulastar
Mulastar1 год назад

Kwani hauoni kuna tamthilia wanashoot

Фото профиля Tobby
Tobby1 год назад

Michezo…Hakuna Mwizi anayemendea dizaini hiyo.

Фото профиля HUD HUD🦅
HUD HUD🦅1 год назад

Kwa uzoefu wangu wa kuibiwa hii ni content wez huwa wanatokea kwa nyuma na hakimbilii upande huo huo lazima apande piki piki chap, maana hapo ukiita mwiz magomen kwa mguu hatoboi..,! Hii content.!

Фото профиля Mtanzania
Mtanzania1 год назад

Alikuwa anadhani anataka kumtongoza akajishaua

Фото профиля kisirani
kisirani1 год назад

Sio kweli . Mwizi wa kwenye foleni haibi kutokea mbele hata siku moja .

Фото профиля The Bullet
The Bullet1 год назад

Kwa jinsi video ilivyo huyo jamaa mwenye tshirt nyeupe ndio mchora ramami na mpiga rada wa mwizi.

Фото профиля THABIT Y RAPPER
THABIT Y RAPPER1 год назад

Lakini bulikia unaiwezo wa kuzuia listokee ila roho mbaya ikakufanya uchukue tu content

Фото профиля prinxjonijo98
prinxjonijo981 год назад

Script nzuri sana hii cut aaaaction😂

Фото профиля Ngidasiwe
Ngidasiwe1 год назад

Wezi wanatokea kwa nyuma mzee, hii ni content tu😂

Фото профиля ABDUL ABDULLAH
ABDUL ABDULLAH1 год назад

Madem weng hii ndo tabia yao yan acha waibiwe tu

Похожие видео