Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huu mtizi hata CR7 hajawahi piga😳🙌
121,587 просмотров • 17 дней назад •via X (Twitter)
Комментарии: 72

Huyo denzel washngton hana idea yoyote na mazoezi ya wacheza mpira..atakuja kuwaulia hapo

Hili zoez sio la mpira asee🙌

Bongo hawajui kwamba professional gym trainer inabidi awe amesomea, anajua misuli, viungo, faida na madhara ya mazoezi fulani. Huku mtu akishabeba vyuma tu basi ameshakua trainer

Huku wanaangalia trend na mwili tu

Kuna clip moja bernado aliulizwa kwann huendagi gym akajibu mbele ya dias ambae alikua ametoka gym mda huo "Gym ni kwa wale wasojua kucheza mpira kwa kutumia miguu yao" hadi dias alicheka

😂😂

Oya mi sio Dr ila hilo goti wanaliua badala ya kuliimarisha

Naam

Huyu jamaa atakuja avunje mtu viungo🙌

Huyu fala mazoezi mengine anajitungia 😁😁

😁😁

This is stupid , hamna zoezi hapo , anatengeneza injury tu hapo

Sahihi

Nikwaajili ya mpira tu au 🤷🏿♂️

Mazoezi ya kukaza viungo TU apa ndo wachezaji wa bongo wanapofeligi sasa wanasahau mpira sio misuli TU Spain laliga wachezaji hawazingatiagi gyme ila mpira uwanjani huwawezi badilikeni

Gym session ya bongo ni ngumu asee🙌

Ndo maana wakivunjika hawaponi

😁😁🙌

Denzel ni TAPELI 😂😂😂😂💀💀

😂😂

Hii ni mpya duniani, Unaweza jikuta umetoka na tatizo badala ya kutengeneza mwili

Naam

😂😂😂

Mnakuja kuwatia watu ukilema Uwangani hayo hayana kazi

Noma asee🙌

Huyo ni mpanzu

Ndyo

Mazoezi yote haya akiwa na mpira anakuwa mchoyo afungee yeye tu na anakosa

Hayo mazoez kwaafya ya mpira hapan asee🙌

Hapa hamna Trainer mzee sasa akishtuka mguu

Balaa

Hata Ronaldinho hajui hii inafanyika hapa kama inasaidia mpira

😂😂

Hii nonsense gani?

Uyo mpuuzi atatuumizia wachezaji

Noma🙌

Power mabula! 😂😂

😂

Uyu alishaambiwa mazoezi anayo wafanyisha sio

Kama hilo mtu si anaweza tegua viuongo asee

Amna mazoezi hapo

🙌

Haya Mazoezi sijawahi ona,Sababu Hapa Mchezaji si anaumiza Goti ama? Nielewesheni jamani

Atatuulia.wachezaji huyo jamaa

Utasikia aumia akiwa mazoezin atakuw nje ya uwanja kwa miez 9

Daaah nomaa sanaa

Kiufup hay mazoezi n risk asee 🙌

Kabisa kaka wapunguzee

Halafu baadae kwenye mechi anaruka ruka

Hay matz yanachangia Kaka😁

Huyu jamaa arudi tu akaongeze knowledge ataumiza watu.

Akija kua mzee atatatetemeka sana mishipa

Balaa

My ankle would cry

😂😂😂

Hayo mazoez hapan asee😁🙌

Hii inasaidia nn kama sio kuumizana ankle tu

Akiendelea hivyo sizan kam atapat muda mrefu wakuhudum kweny soccer

Huyu mkichekea atawaua.. hili zoezi unaweza zingua goti muda wowote.. Haya mazoezi ya kutumga tumga mradi tu mwili ushughulike muwe mnayaangalia, huo mguu unaotupwa kwa upande, na kuna kilo kadhaa zinamvuta chini ni kosa

Noma asee🙌

@joshuasultanPT hii imekaaje?

😂😂Kwa Ligaments hizi za kwangu aisee natazama tu hii video tyr napata maumivu😂😂

😁😁🙌

Hakun zoez hapa

Naam

😂😂…

Wakiendelea kumchekea atawategua viungo 😁

Kabla mgu kuvunjika na ushuzii😂😂…

Mtumishi umefika mbali sas😁😁🙌

😂😂🙌…

Naomba kuuliza Hawa Jamaa Trainers wanafundisha kwa hisia tu ama wana Mitaala?

Mitaala sizan
