Loading video...
Video Failed to Load
Huu wizi balaaa๐ฅน
13,135 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
10 Comments

CARGOโญ๐1 year ago
CCTV ni muhimu kwenye biashara zetu

Van Mersey1 year ago
Ndio maana wezi wanapigwa bila huruma

Ambele Young1 year ago
Aiseee hawa watu wanarudisha nyuma sana maendeleo ya wengine.

Fumbo Khan1 year ago
Janja alikuwa hajui Kama kuna camera

Masalia1 year ago
Kwa nini mtu anaweka geti jepesi kiasi cha kuvutwa tu kwa mikono? Kuna uzembe fulani hapo kwa upande wa mwenye biashara

AK471 year ago
Aseee wizi unarudisha maendeleo nyuma

Quintone Mwape1 year ago
Hilo ni geti au pazia? Camera imesaidia nini sasa!! Ukivaa mask, miwani na cap cctv camera ni takataka tu

๐ต๐จ๐ฉ๐ฌ๐ฌ๐ณ1 year ago
Dah mwizi nomaaa

Shamba Boy1 year ago
Inatia huruma aisee, hii sio sawa kabisaa huku ni kurudishana nyuma kimaisha

captain1 year ago
Watu ni wazi sana wawe makini
