Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huwaga bad. 😎
18,674 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 38

Unakuanga aje😂😂😂

😁

Mpaka morio akawika Mama yake 💀🤣

Nli mchuna ki design 😁

Hiyo Lazima Angefikiria Ameumwa ! 🤣

Mtu akiweza patwa na heart attack utafanya nini bro? 🤔😂

Nimedhani ni bookten

😂😂😂😂 mAma mamangu Kidogo ninja abaki na boxer

😂😂

We ni bully😂😂😂

Lazima kila MTU akujue bro. Otherwise atakapitia

😅😅😅😅😅ni kubaya

😂😂😂😂😂😂😂

We msee 😅😅

Hapa ata mimi ningewika vibaya sana 😂😂nyoka! Bruh I fear that thing 😄

Mama yangu 😂😂😂

Nice one, hii nayo ni fire

@nickiBIGFISH wewe tutakupeleka Jerusalem city ukutane na commander aka kenya one

@s1ah_wanja Aaah hah usijali nitakulipa cooled him

🤣🤣🤣

😂😂😂😂

I could sue you wallaih

Nkt 😂

Mnafanya mwanaume apige nduru hivi😂😂😂😂

daah 😁😁😁😁😁😁😁😁

🤣🤣🤣🤣🤣tukipatikana kwa shida mbona si ulia "Woi Mama Yangu"..??..kwani Wazae hawaezani ama🤣🤣🤣😭😭??

Heri nyoka iniume nikufe lakini nduru nayo sipigi 😂

😂😂 The guy is super shocked

Waingo😂😂😂😂

Buda I told you unakuwaga annoyingly funny !! 🤣🤣😡😡

Kwa nini anatema mate lakini😂

Hapa heri tupigane🤣 Niite mama yangu alaf uniambie prank

lates meme. mama yangu

Utapigwa vibaya sana siku moja 😭😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂

😂😅😂

Mzee siku moja utapigwa😂😂

Hio nayo ni noma

Jamaa amelia Mama yangu 😂😂 Hapo kwa nyoka hata mimi nitapiga nduru
Похожие видео
Sensitive content
Decent bad girls… 😎❤️
BIG 9
266,582 просмотров • 4 месяцев назад
