Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

112,541 Aufrufe • vor 28 Tagen •via X (Twitter)

12 Kommentare

Profilbild von Bstkreatvt
Bstkreatvtvor 27 Tagen

Saafi sana. Tamaduni zetu za kutoelewa maana ya muda ni shida sana. Hata sababu anazotoa hazina uzito. Clip itembee na ifike mbali wote tujifunze kujua muda na kuthamini kazi za watu.

Profilbild von Frank Frankfrancis
Frank Frankfrancisvor 27 Tagen

Huu ni upuuzi kama walimwambia saa nne why mpaka saa nane wapo? Sema washikaji wakikalia haya magari huwa wanajiona wapo peponi kumbe🚮

Profilbild von charles enoki
charles enokivor 27 Tagen

Wangemsamehe tu ,muuni kaaga kabisa

Profilbild von Mwananchi wa Kawaida
Mwananchi wa Kawaidavor 27 Tagen

Lakini kama amewakuta kuna tatizo gani!

Profilbild von imminent
imminentvor 27 Tagen

Saa nane na nyie mmesubiri hadi muda huo kwanini?

Profilbild von Sugu🇰🇪
Sugu🇰🇪vor 27 Tagen

Watoto wa uswahilini ndivyo walivyo. Hawawajibiki.

Profilbild von Evance lastborn
Evance lastbornvor 27 Tagen

Maigizo ya kisenge

Profilbild von SPECIMEN XY🇺🇸
SPECIMEN XY🇺🇸vor 27 Tagen

Mlimsubiri aje mumfukuze

Profilbild von Baba Tunde
Baba Tundevor 27 Tagen

Mm wakinirekodi hivi nahisi ntakua don.

Profilbild von Stone
Stonevor 27 Tagen

Mmekosea script! Alitakiwa awapigie cm mmwambie mshasepa. Kuwakuta hapo yeye ndo mshindi mlitakiwa msimuache

Profilbild von @Tanganyika
@Tanganyikavor 27 Tagen

Laki hapa, nashindwa ' Kuelewa' aliyechewesha nialiyechelewa kujaaa, au aliyechelewa kuondoa Gari?🙄🙄

Profilbild von Swaleh-Mirongoh 🇰🇪🇹🇿
Swaleh-Mirongoh 🇰🇪🇹🇿vor 27 Tagen

Your just a reflection of your leaders .

Ähnliche Videos