Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Huyu Dada kaongea kamaliza Yote.!!🙌🤝
89,804 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
12 Yorum

Vijana wengi wana Risk maisha yao ili kumfurahisha mwanamke ambaye sio wake 😁

Ajabu sana kaka 😂😂😂

You know it's time for something else when: ⬜⬜🟨⬜⬜ ⬜🟨🟨⬜⬜ ⬜🟨🟨🟨⬜ 🟨🟨🟨🟨⬜ 🟨🟨🟨🟨🟨 🟨🟨🟩🟨🟨 🟨🟩🟩🟨🟨 🟨🟩🟩🟩🟨 🟩🟩🟩🟩🟨 🟩🟩🟩🟩⬛

Na ukwel ni kwamba, hata ukiachana na huyo chuma ulete utapata mtu mzuri anaweza kupokea kidogo chako, hawa watu wanaonunulia wanawake simu, magari, nyumba na viwanja ni watu wenye fedha na walivyo vitoa si kitu kwao. Acha kushindana nao

Yuko sahihi ni jukumu la vijana sasa kuipokea kama funzo na si vinginevyo

Yeah imebaki kwetuu 😂😂

Ila kaka nakubalii sanaa unavyo wapa elimu wanawake wajieleweee

Bainafsi mimi napenda vijana wakiume tujielewe zaidi na tujipende hao viumbe hawaridhiki na hawana shukran.

uyu dada kamaliza kila kitu

🙌🙌🙌

Deal done..amemaliza kila kitu Kama unabisha ENDELEA KUJIMALIZA👋👍 dada wa week

Kamalizaa yaani 🔥🔥
