Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Huyu dada ๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿปโœ…

82,308 Aufrufe โ€ข vor 3 Jahren โ€ขvia X (Twitter)

22 Kommentare

Profilbild von Brainfigure94
Brainfigure94vor 2 Jahren

Me wanawake hata siwezi kuwa inspired nao maana kama sio haki sawa basi huruma, kama sio huruma basi uzuri wake. lakini pia maswala ya women empowerment afu unambie nije nione ni simple ivo kama mnabisha jarbuni kutumia izo akili. Trust in process, sali sana Kila hatua DUA ๐Ÿ˜„.

Profilbild von godlisten mshigwa
godlisten mshigwavor 2 Jahren

Unapata mwanamke akili ipo kwenye kutafuta pesa kwanini usimuongezee mtaji. Wengine hawa ni kutumia hawajui kingine. Tutakunywa nao ila hatutawaoa haha.

Profilbild von Eng. Joseph Mulangi
Eng. Joseph Mulangivor 2 Jahren

Wanaume wakiona tu wanaagiza kokoto kumbe kuna kitu wanakitaka. Sio tofali tu wanasema ukitaka duka lako litoboe weka mrembo dukaani

Profilbild von Arnold_Baba_Jenny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ |NIT alumnus|
Arnold_Baba_Jenny ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ |NIT alumnus|vor 2 Jahren

Urembo wake pia umechangia

Profilbild von Mwafrica๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Mwafrica๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 2 Jahren

Biashara haijawah kuwa nyepes hiv ๐Ÿ˜‚

Profilbild von แ—ฐOแ–‡แ—ฉแ‘ŽI ๐•„๐•›๐•’๐•Ÿ๐•›๐•’
แ—ฐOแ–‡แ—ฉแ‘ŽI ๐•„๐•›๐•’๐•Ÿ๐•›๐•’vor 2 Jahren

kuwa inspired ila tusisahau njia ni mingi na hazifanani abadani

Profilbild von pharm_chowdri๐Ÿ’Š๐Ÿ’Š
pharm_chowdri๐Ÿ’Š๐Ÿ’Švor 2 Jahren

"biashara ni akili cyo pesa" kwa hyo huo mtaji chini ya 100k ni changarawe? kuna watu maisha yao kupata buku jero kwa siku ni tabu sana au kushika 50k kwa pamoja ni mtiti, ila siyo kwamba hawana idea za biashara, vyanzo ndo tatizoo toeni elimu vyenye mtu anaweza kupata mtaji

Profilbild von Mwenyekiti
Mwenyekitivor 2 Jahren

Hapa na utapeli ni mapacha. Yaani ni dalali huyu wala si mfanyabiashara. Toka lini middle person akaitwa mfanyabiashara?

Profilbild von young dady
young dadyvor 2 Jahren

Inshu ni demu so ni rahisi kama anaambia wamawake wenzake sawa

Profilbild von Ifumu.
Ifumu.vor 2 Jahren

Iga ufe. Maisha sio mepesi kiivo.

Profilbild von ๐”ป๐•ฃ. Pierre Binxete MSc ๐Ÿฉบ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐”ป๐•ฃ. Pierre Binxete MSc ๐Ÿฉบ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 2 Jahren

Hustler in real life....๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Profilbild von Eng.Shabir Mwangere
Eng.Shabir Mwangerevor 2 Jahren

Angeanza kwanza udalali kwenye cement wazo akaleta kwenye tofali akapeleka site ๐Ÿ˜ƒ

Profilbild von small wangamba
small wangambavor 2 Jahren

Kila anachofanya kina tiki, lkn hatulii na ishu moja, why?

Profilbild von sika.๐Ÿ—
sika.๐Ÿ—vor 3 Jahren

HuYu sister noma ๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Profilbild von Deogratus
Deogratusvor 2 Jahren

@GillsaInt Safi sana

Profilbild von MEEDA
MEEDAvor 2 Jahren

@WinnieMichel7 ๐Ÿ˜Ž

Profilbild von Amaizing stuff
Amaizing stuffvor 2 Jahren

Sasa vaa wewe vizuri ukawaambie site unauza tofali ๐Ÿ˜…

Profilbild von John mbiku
John mbikuvor 2 Jahren

Huyu ni dalali tuu

Profilbild von Ommy Oshea ๐Ÿ”ฌ๐Ÿฅผ
Ommy Oshea ๐Ÿ”ฌ๐Ÿฅผvor 2 Jahren

@BillyKawogo

Profilbild von Richard Marwa
Richard Marwavor 2 Jahren

Sasa hapo anafanya biashara au udalali !!!

Profilbild von Godfrey C.M
Godfrey C.Mvor 2 Jahren

@GillsaInt Malaya tu

Profilbild von MOUSA
MOUSAvor 2 Jahren

Wew n tapel

ร„hnliche Videos