Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huyu dada 🙌🏻🙌🏻✅
82,308 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 22

Me wanawake hata siwezi kuwa inspired nao maana kama sio haki sawa basi huruma, kama sio huruma basi uzuri wake. lakini pia maswala ya women empowerment afu unambie nije nione ni simple ivo kama mnabisha jarbuni kutumia izo akili. Trust in process, sali sana Kila hatua DUA 😄.

Unapata mwanamke akili ipo kwenye kutafuta pesa kwanini usimuongezee mtaji. Wengine hawa ni kutumia hawajui kingine. Tutakunywa nao ila hatutawaoa haha.

Wanaume wakiona tu wanaagiza kokoto kumbe kuna kitu wanakitaka. Sio tofali tu wanasema ukitaka duka lako litoboe weka mrembo dukaani

Urembo wake pia umechangia

Biashara haijawah kuwa nyepes hiv 😂

kuwa inspired ila tusisahau njia ni mingi na hazifanani abadani

"biashara ni akili cyo pesa" kwa hyo huo mtaji chini ya 100k ni changarawe? kuna watu maisha yao kupata buku jero kwa siku ni tabu sana au kushika 50k kwa pamoja ni mtiti, ila siyo kwamba hawana idea za biashara, vyanzo ndo tatizoo toeni elimu vyenye mtu anaweza kupata mtaji

Hapa na utapeli ni mapacha. Yaani ni dalali huyu wala si mfanyabiashara. Toka lini middle person akaitwa mfanyabiashara?

Inshu ni demu so ni rahisi kama anaambia wamawake wenzake sawa

Iga ufe. Maisha sio mepesi kiivo.

Hustler in real life....👏👏👏

Angeanza kwanza udalali kwenye cement wazo akaleta kwenye tofali akapeleka site 😃

Kila anachofanya kina tiki, lkn hatulii na ishu moja, why?

HuYu sister noma 👏👏

@GillsaInt Safi sana

@WinnieMichel7 😎

Sasa vaa wewe vizuri ukawaambie site unauza tofali 😅

Huyu ni dalali tuu

@BillyKawogo

Sasa hapo anafanya biashara au udalali !!!

@GillsaInt Malaya tu

Wew n tapel
