Huyu Dereva wa Crown ameniangusha sana
127,031 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

chuma1 年前
Hizo kona hana ujanja wa kuovertake, usalama muhimu

Adventure-3601 年前
Saana

SAID1 年前
Mbinga -mbamba bey Usiombe ufate makaa ya mawe njia hiyo🙌🙌

Adventure-3601 年前
Yaan

Vitus Nkuna1 年前
Crown gari ya kawaida Kaka, hapo ata wampe dakika 15 mbele anapitwa. Ni vile ni gari pendwa ya vijana inapewa sifa ata ambazo haina. Kwa mbio uongo😁

Adventure-3601 年前
Kiongozi 😀👀

clevance adam1 年前
Kumbe ww ndo unae chochea ajali home boy

Adventure-3601 年前
👀

Migho1 年前
Hii mbinga kwenda mbambabay

Adventure-3601 年前
Naam
相关视频
0:57
Sensitive content
PAUL KAGAME: Unajua Felix Tshisekedi alikuwa dereva tax mwenye sifa mbaya sana huko ubelgiji, Aliajiriwa na mtaliano mmoja katika mgahawa wa kuuza piza, jamaa huyo sasa ni mzee, Kagame anasema, yule mzee aliposikia Felix amekuwa Rais akashangaa sana, akasema huyu jamaa ambaye hakuweza hata (kudeliver) pizza amewezaje kuwa Rais wa Nchi..? Ila siasa bhana dah😀😀
Edwin Odemba
206,216 次观看 • 1 年前
