Loading video...
Video Failed to Load
Huyu nae bhana๐
11 Comments

"Mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyokupendeza mbele zako." Mathayo 11: 25-26

Yesu ni mwana wa MUNGU. Yaani nafsi tatu BABA/MWANA &ROHO MTAKATIFU. Yesu anasema mimi na baba tu washirika na hakuna atakayefika kwa baba bila kupita kwangu mimi ni nguzo na njia ya uzima.

Yupo sawa yesu siyo Mungu ata siku moja

Mwandambo sio ww tu unae choka, tuko wengi.. maswali ni mengi sana ๐คช๐คช

Mpumbavu huyu. Hayasoma neno akalielewa anaongea pumba tu kwasababu amepata smartphone uzeeni.

You know it's time for something else when: โฌโฌ๐จโฌโฌ โฌ๐จ๐จโฌโฌ โฌ๐จ๐จ๐จโฌ ๐จ๐จ๐จ๐จโฌ ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ ๐จ๐จ๐ฉ๐จ๐จ ๐จ๐ฉ๐ฉ๐จ๐จ ๐จ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐จ ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐จ ๐ฉ๐ฉ๐ฉ๐ฉโฌ

Yesu alijizolea umaaruf tu kama Mwanamalundi wapo sawa wote.

Ninauhakika haelewi ata amepost nni alokua anayaongea

Hapo Mimi nimemuelewa vizuri, ila kama unahitajn kuujua ukweli, ukweli ndio huu, UUNGU wa YESU unasintofahamu, kiufupi YESU ni mtu, sio MUNGU kama wengine wanavyodai

๐ ๐ ๐ daah

Ability yake sio nzuri
Related Videos
๐๐๐๐๐huyu jamaa bhana
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ
185,826 views โข 1 year ago
Sensitive content
Kama mke wako amemfollow huyu Dada, achana nae ukipuuzia hutoamini kitakachokukuta.
Mfalme๐๐น๐ฟ
53,488 views โข 1 year ago
