Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

19,085 Aufrufe • vor 2 Tagen •via X (Twitter)

29 Kommentare

Profilbild von ELR
ELRvor 2 Tagen

Kumbe huyu kibaka bado yupo. Si ndio huyu alijigamba kuwapoteza watu wa mitandaoni! Bwege kabisa

Profilbild von Mnada Daniel
Mnada Danielvor 2 Tagen

Rais wenu wa nyoko, alichaguliwa na nani ..?

Profilbild von king_davd_ll
king_davd_llvor 2 Tagen

Huyu atakuwa anamsema Bashite sasa kwenye kufoji vyeti

Profilbild von innocent sanga
innocent sangavor 2 Tagen

Kama hataki kutajwa si ajiuzuru Kwani kuna mtu alimlazimisha kuwa raisi. Mamlaka ambayo inatakiwa kutaminiwa na kuogopwa ni mungu tu. Ndie wa kuogopwa. Mkitaka raisi asisemwe pelekeni muswada Bungeni, nchi ya kifalme hakuna atakecritisize serikali

Profilbild von mvulenileo
mvulenileovor 2 Tagen

skuizi vichaa wote wanavaa nguo za kijani!

Profilbild von TheAngryBlackGuy
TheAngryBlackGuyvor 2 Tagen

Huyo si ndio alisema tukiwapoteza msiwatafute huyu?! Yaani watu wote waliopotea na bado hawajulikani walipo ila jamaa bado anadunda tu mtaan amaa i kweli nimeamini polisi ni mali ya CCM.

Profilbild von H K M 🇹🇿🙏🕊
H K M 🇹🇿🙏🕊vor 2 Tagen

Machawa wanakazi sana hata hao wanaomsikiliza wanamshangaa sana😂😂😂

Profilbild von titanElchapo
titanElchapovor 2 Tagen

hata baada ya yote haya sia amini bado kuna wa tanzania wana enda miku tano ya ccm

Profilbild von Ghala Arsenal
Ghala Arsenalvor 2 Tagen

Hata naunga mkono asimtaje km rais samia bali amtaje km muuwaji wa halaiki ya waTanganyika, muuwaji aitwae haramia samia.

Profilbild von Shedrack Richard
Shedrack Richardvor 2 Tagen

Huyu chokooo anaongea nn huyu 😆😆😆

Profilbild von maguta
magutavor 2 Tagen

Mwambieni alinde mgongo wake

Profilbild von Vlux
Vluxvor 2 Tagen

Rais haram. Muuaji

Profilbild von Apis mellifera
Apis melliferavor 2 Tagen

Adabu ya mamake

Profilbild von Paco
Pacovor 2 Tagen

Teuzi ni maisha bro...fuata nyuki ule asali

Profilbild von bosco mapunda
bosco mapundavor 1 Tag

Wananufaika na mfumo hao....muda wote ni kumpamba rais

Profilbild von Mnada Daniel
Mnada Danielvor 2 Tagen

Matako ya Bibi yako

Profilbild von James Geoffrey
James Geoffreyvor 2 Tagen

uchawa tuu samuya na bibi ake heche wote wanawake ila bora Bibi ake heche n msafi

Profilbild von Filbert M
Filbert Mvor 2 Tagen

Amtaje kama mama mjane.

Profilbild von Mzee Dar es Salaam
Mzee Dar es Salaamvor 1 Tag

Samia ni kiongozi wa umma, kwa nini asitajwe?

Profilbild von MkP💪🇹🇿
MkP💪🇹🇿vor 2 Tagen

Bwege huyu

Profilbild von SAMAIDA SAMA
SAMAIDA SAMAvor 2 Tagen

@christopherjul8 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Profilbild von APT0⚡️
APT0⚡️vor 2 Tagen

Huyu choko anaropokaga kweli 🚮

Profilbild von brother
brothervor 2 Tagen

sisi watanzania ndo masenge, hawa wanaishije uraiani kwa amani kabisa kumamake

Profilbild von innocent sanga
innocent sangavor 2 Tagen

Tena 99% bunge ni kijani badirisheni katiba tu nchi iwe ya kifalme , mnaweza pia kusema Rais wa nchi awe mungu. Kama kwa swahiba zenu North Korea. Hapo kila atakaemtaja atapata hukumu ya kifo

Profilbild von Ibrahim Hezbon
Ibrahim Hezbonvor 2 Tagen

Chawa zinanisumbua sana D 2

Profilbild von Credo in unum Deum
Credo in unum Deumvor 2 Tagen

😅😅huyu aliyesema kupoteza wapi anapata wapi kifua

Profilbild von mlangila
mlangilavor 2 Tagen

Machawa wa hali juu

Profilbild von BekaBOY 0.2
BekaBOY 0.2vor 2 Tagen

Huyu si yule wa tukiwateka msiwatafute?

Profilbild von Syonangike
Syonangikevor 1 Tag

Keshapindwa mgongo anakuwaje na haya

Ähnliche Videos