Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Huyu nani? Anajua 🔥🤝
78,192 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
8 Yorum

Given Edward2 yıl önce
Mwingine huyu. Kipaji kipo 🔥🤝

Nelson Kileo•2 yıl önce
Wanafuga chuki hawakumbuki watakupa ndala kisha watakuambia ukaze buti .😂

Sonko Kyara2 yıl önce
Kutafuta msosi kwangu sio tabu, changamoto kula, unaweza kuta demu anashepu, changamoto sura.. Pisi kali kwetu zipo ila changamoto chura😀

S C O O B Y V E L L I 💯2 yıl önce
Mnyama sana…💯

chabu2 yıl önce
@Mkuruzenzi Hii michano za kina stamina ambazo mada zinahama hama huwa kiukweli sizielewagi

Anko nedd2 yıl önce
Anaitwa bunaya home boy mwananyamala

CHUMUNI (1/8)2 yıl önce
Uyo anaitwa BUNAYA

Conkara@EmmanuelStephenson07082 yıl önce
Bunaya fundi sana
