Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huyu ni mtu wa kitengo
24,588 просмотров • 8 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 16

Huwezi kusoma andiko moja ukaja na maana kamili. Unapsema ukombozi ni dhahiri kuwa hicho kitu kinaweza kukulinda pia kama kinaweza kukomboa.

Jibu lenye reference hilo hapo Yoh:6:53-54 @Chahali

Jasusi kama mseminari na mwanakitengo mstaafu, ni kweli kuna mapadre wa kitengo?

Huyu Mbona Inajukikana Kbs"Mtumishi Gani Ana #Dojo

Ufunuo 12:11 Kutoka 12:13

Hongera zake kwa kutuweka wazi.

Shida yetu tumefundishwa kuwa watiifu wa mapokeo na kuaminishwa kumchukia yeyote aendae kinyume na mafundisho tuliyolishwa, tujifunze kuwa watafiti wa yale tunayofundishwa.

Wakulugwa cha 10M tunapishana nao ivi ivi ?

Ni ulimbukeni tu wa maandiko.........Tatizo kubwa sana kwa watu kama huyu ni "Much know" hana tena nafasi ya kujua zaidi. Misri, damu ya mwanakondoo kwenye miimo ya milango ilimaanisha nini? Uzi mwekundu kwenye nyumba ya Rahabu ulimaanisha nini??

Nadhani ni swala la tafsiri kwa sababu damu ya Yesu hufananishwa na damu ya Mwana-Kondoo iliyopakwa kwenye mimo ya milango katika nyumba za Waisraeli kule Misiri kazi ya damu hiyo ilifanya kazi ya ulinzi kwa imani kama ambavyo ndamu ya Yesu inavyofanya kazi ya ulinzi kwa imani

Moyo wangu ulisita nilipoamza kumsikia kwa mara ya kwanza

Asante kaka

Aisee

Hapa yupo sahihi lakini

“Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. ” — Ufunuo wa Yohana 12:11 Hapa damu inatumika katika muktadha wa vita! Huwezi kuiwekea mipaka kijinga hivyo. Tafsiri finyu, kajigamba nayo🤔

Kwa waaminio
Похожие видео
Sensitive content
Achana Na Michirizi Yake Achana Nahuo Mchupi Wake Kama Turubai. Huyu Ni MKE Wa Mtu Kama Bado Basi Ni Mke Wa Mtu Mtarajiwa MWANAUME Kosea Vyote Usikosee Kuoa.
KIDUKU
299,202 просмотров • 1 год назад
