Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

41,792 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)

Комментарии: 0

Нет доступных комментариев

Здесь появятся комментарии из оригинального поста

Похожие видео

HAKUNA ALIYESALAMA Anaandika Mdau kutoka Geita👇👇👇 Hapa ni Ililika-Nyarugusu Geita imetokea RUSH Mpya ya Uchimbaji wa Madini. Kama kawaida wakajitokeza watu wengi kwa ajili ya usimamizi na Moja ya kundi lililojitokeza ni UVINYA Umoja wa Vijana Nyarugusu, Hili ni kundi kubwa la vijana hapa Mgodini ambalo lina watu wengi wenye uzoefu mkubwa wa uchimbaji na wengine wakiwa wajasiliamali na wafanya biashara wadogo wadogo. Walifika kwa ajili ya kuomba tenda ya kusimamia rush, na wakaja na vifaa vya kujenga nyumba ya muda(temporary residence) walikua na vifaa kama mbao nk. Sasa alitokea mtu mwenye bunduki na kuaza kuamuru vifaa hivyo viondoshwe haraka sana! Mzozo ukawa mkubwa bwana huyu alishika bunduki akaanza kutumia kitako cha bunduki kumpiga huyu kiongozi wa UVINYA! Huyu kiongozi wa UVINYA ni mwanaccm tena mjumbe katika serikali ya Kijiji hiki, in short ni wale ccm kihere here. Huyu kada wa CCM ameumizwa sana na askari huyu ambae alikua akisema kwamba yeye anamaelekezo kutoka juu ni Askari mwenye rasta na mwenye muonekano ambao si wa kiaskari, Mashuhuda kadhaa wa matukio ya Oktoba 29 wanasema kwamba huyu Askari ni miongoni mwa Askari waliokua wakimimina risasi kwa raia mjini katoro siku ya Oktoba 29, 30,31 na Nivemba 1 Haya hivyo huyo Kada wa CCM pamoja na kipigo chote icho waliondoka nae na sasa anashikiliwa kituo cha Polisi, Wamemnyima hata huduma ya kwanza licha ya kwamba anajereha kubwa kichwani.

Hilda Newton

70,244 просмотров • 5 месяцев назад