I have so many questions😅
@kerubo_hillary56K followers
410,742 views
54 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@djeduhmaks
@Stephenmomanyi5 Uyo anapitisha pikipiki sitting room casually 😂😂😂
310 likes

@kerubo_hillary
@Stephenmomanyi5 😂😂hapo ndio parking
103 likes

@Stephenmomanyi5
@djeduhmaks You know, I've watched hadi nikabookmark niangalie fsuri baadaye😅🤣🤣🤣
13 likes

@djeduhmaks
@kerubo_hillary Nimeshtuka sana mtu anaeza endesha pikipiki kutoka kwa mlango kuja sitting room. Si angeskuma ata 😂😂😂
29 likes

@reeszemwangi
Truly favoured, the first question from the man 'mtoto amelala'?
231 likes

@kerubo_hillary
Yep A concerned man that one
37 likes

@harryhoke13
@reeszemwangi Concerned or he is on a mission? 🤣
19 likes

@kerubo_hillary
@reeszemwangi 😂😂😂
1 like

@zero1existence
Bro anaingia na senke inaguruma na anauliza kwani mtoto amelala the irony 😆 lol
152 likes

@kerubo_hillary
😂😂😂
6 likes

@Wango21
Assert dominance. Ride your nduthi into the sitting room. 😂😂
125 likes

@rono_ishmael
😂😂😂 why's he parking there?💀 and mtoto amelala? Si atamwamsha na hiyo kelele ya nduthi
115 likes

@kerubo_hillary
😂labdq mtoto amezoea
46 likes

@ItsGregy_
ndio maana watu wa boda hua na fitina namna hiyo barabarani😂😂
108 likes

@kerubo_hillary
@CAPTAINFISH_ 😂😂
5 likes

@aloodickens
I thought ameletwa na bike only to see inaingia kwa keja, kwani io troller ya smokey ni ya nani ?
73 likes

@kerubo_hillary
😂🤣🤣 Trolley ni ya uyo dem
30 likes

@Victer44
😂😂😂😂proper hustlers..nduthi ime parkiwa kando ya trolley ya smokey
58 likes

@mainawaweruk
Ukiwahi pata mwizi akichapwa, gentlemen do not hesitate to throw a punch. Nduthi inaparkiwa sitting room juu ya wezi bana. Thieves just like Nairobi Women are not good people
51 likes

@VictorOuma_
😅😅😅 TikTok watu hufanya anything for content
43 likes
























