正在加载视频...
视频加载失败
I leave it here 😂
11 条评论

𝐅𝐚𝐫𝐚𝐣𝐚2 年前
Kuna ukweli ndani yake. Wakaangalie vyoo vya mlimani pale 😂.

Mganga mfawidhi2 年前
Udom ndo balaa 😂😂😂

Michaelson2 年前
I sadly agree with him 🥺

Rasta2 年前
Huyu kijana ni mdogo lakini ana akili nyingi sana. He oozes gems like a true sage.

𝕥𝕣𝕠𝕦𝕓𝕝𝕖𝕜𝕚𝕞🇹🇿2 年前
Uwongo "nimezunguka vyuo vyote Tanzania"

February2 年前
Jamaa kaongea facts sana. Mwaka fulani niliwahi kuta mgogoro chuo cha wachungaji Dodoma, na tatizo ilikua mzigo umeachwa toilet. Nikajiuliza hata hawa? 😀

Ladis Mulokozi2 年前
Nakubaliana naye .

Mganga mfawidhi2 年前
Ana hoja

Ms.Shuwea2 年前
Enheee🙌🙌😆😆

J. O. H2 年前
Jamaa anajua kusikiliza "lazima awe mwizi"😂

Mganga mfawidhi2 年前
Si ndiyo 😂
