Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
I will take you....
37,553 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
12 Yorum

Ila Tikitoku, Kunakuwaga na watu wa Ajaubu haijawahi Tokea 🙆♂️🙆♂️😂😂😂 Mwamba hivi anajijua kuwa yuko Live aisee😬😬😬 Nimecheka Balaaaaaa😂😂🙆♂️ Video kwa Comments 👇

Sema mdhungu mbona kama amekubali swagg za msera😅, anajichezea nywele mda wote😅

take the journey

Mwamba akaze tu ajitahidi na lugha ipande Mchumba mwenyew anakwambia mbona uko mcheshi hivyo na hauna girlfriend ....kuna namna mchumba anajaaa kwambaaaali ni kukaza tu..

Chuma Cha mkoloni

Mzungu mwenyew anataka kuhongwa Pete ya tanzanite kakutana na mwamba anataka kumpa diamond wa pdidy

Daaah huyu jamaa utan utan anaweza opoa huyu dem hahah

Demu mbona kama ameshamuelewa mwamba kiutani utani tu 😂

Take mimba go home 🤣🤣🤣💔

Sema mwamba nigga sana,wanawake uwa hawapendi wanaume soft soft Kama wazungu wao………we kuwa natural halaf kuwa na zile pigo za kiafrika,hizi pisi nyeupe utazipiga sana

Limeua "wale Simba waserengeti nimeishi nao sana"ila likikaza linaweza kupata chochote demu sio mgumu sanaa

Nimepata Experience baada ya kukaa na washkaji wengi wana sanaa na Marasta bila kusahau waliosoma TASUBA Pale Bagamoyo na wengi wamepata aina hii ya wanawake kwa kuzungumza straight bila kujikweza na kuwa kituko .. Huyu binti ameshamuelewa jamaa muda tu...
Benzer Videolar
Sensitive content
Koyin - I think I have to inhale you so I will always remember .. Did you take everything you will need , your vanities , skincare Dede - I don’t have a skincare routine K- yet you look so pretty Awww #bbnaija
Get Updated 2
207,500 görüntüleme • 9 ay önce

