Sensitive content

This media may contain sensitive content.

正在加载视频...

视频加载失败

I will take you....

37,553 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

12 条评论

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Ila Tikitoku, Kunakuwaga na watu wa Ajaubu haijawahi Tokea 🙆‍♂️🙆‍♂️😂😂😂 Mwamba hivi anajijua kuwa yuko Live aisee😬😬😬 Nimecheka Balaaaaaa😂😂🙆‍♂️ Video kwa Comments 👇

Kipengele cha Kwanza☝️ 的头像
Kipengele cha Kwanza☝️1 年前

Sema mdhungu mbona kama amekubali swagg za msera😅, anajichezea nywele mda wote😅

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

OG 的头像
OG1 年前

Mwamba akaze tu ajitahidi na lugha ipande Mchumba mwenyew anakwambia mbona uko mcheshi hivyo na hauna girlfriend ....kuna namna mchumba anajaaa kwambaaaali ni kukaza tu..

Maneno Magema 的头像
Maneno Magema1 年前

Chuma Cha mkoloni

Abby03 的头像
Abby031 年前

Mzungu mwenyew anataka kuhongwa Pete ya tanzanite kakutana na mwamba anataka kumpa diamond wa pdidy

Mkurungwa 的头像
Mkurungwa1 年前

Daaah huyu jamaa utan utan anaweza opoa huyu dem hahah

abuhakam 的头像
abuhakam1 年前

Demu mbona kama ameshamuelewa mwamba kiutani utani tu 😂

wisdom 的头像
wisdom1 年前

Take mimba go home 🤣🤣🤣💔

Angas Oketch 的头像
Angas Oketch1 年前

Sema mwamba nigga sana,wanawake uwa hawapendi wanaume soft soft Kama wazungu wao………we kuwa natural halaf kuwa na zile pigo za kiafrika,hizi pisi nyeupe utazipiga sana

elly Mlimba 的头像
elly Mlimba1 年前

Limeua "wale Simba waserengeti nimeishi nao sana"ila likikaza linaweza kupata chochote demu sio mgumu sanaa

Athuman Shaban Mbwana 的头像
Athuman Shaban Mbwana1 年前

Nimepata Experience baada ya kukaa na washkaji wengi wana sanaa na Marasta bila kusahau waliosoma TASUBA Pale Bagamoyo na wengi wamepata aina hii ya wanawake kwa kuzungumza straight bila kujikweza na kuwa kituko .. Huyu binti ameshamuelewa jamaa muda tu...

相关视频