正在加载视频...

视频加载失败

34,612 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Lokasa ya mbongo 的头像
Lokasa ya mbongo1 年前

Mkozenu kambini mnapiga makozi kibao Askali mwenzenu yuko zake Dar Young Africa anapiga pesa na ana enjoy kipaji chake. Siku ya kupandisha vyeo wewe uliepiga kozi ukafeli unakosa alafu Bacca anapata. Daah maisha hayako freeze kabisaa

Jack Jack 的头像
Jack Jack1 年前

Ayo magwanda kama nguo za kofie Olomide

Musobi 的头像
Musobi1 年前

Inamana KMKM wao salute zao ni tofauti na majeshi mengine😅😅

Soccer Bot™ 的头像
Soccer Bot™2 年前

Brazil Extension 💙 We are releasing our second stage of Soccer Bot™ Universal+. We now offer 23 leagues (18 new ones) of Brazilian soccer culture. Try it out today. Try Soccer Bot™:

Genius🤴 的头像
Genius🤴1 年前

Wakina mzize wakila bangi anaweza kuwakamata??

Marcednyo 的头像
Marcednyo1 年前

Kuupiga mwingi ndio Imepelekea kupandishwa Cheo🤔

kijana mpole Tz🙌 的头像
kijana mpole Tz🙌1 年前

Appreciation

Chazy Ahmed 的头像
Chazy Ahmed1 年前

Daaah

tiba asili 的头像
tiba asili1 年前

sema wazanzibar wanapendana sana na kutakia kheri amini nawambia angekuwa huku bara angekuwa ashatimuliwa kazin na hivi hachezei timu ya jeshi

Kithure Kindiki 🐐 的头像
Kithure Kindiki 🐐1 年前

Niliona alivyoshambulia M23 unaambiwa bacca alitelekezwa kazungukwa na maadui 7 na akafanikiwa kutoka

相关视频