Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ikitokea Mtu....
16,027 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
12 Yorum

Maneno ya Huyu mtoto yamenifanya nikapatwa na Hisia sana. 🥺 Inshaallah, Mwenyezi Mungu atamsaidia, atafikia Ndoto zake... Video kwa Comments 👇

Huyu ni dogo ila kichwani ni mkubwa sana 💪🏻,, nlipokuwa mdogo nakumbuka nilikua siwez waza kama huyu dogo,, atafika mbali akiwezeshwa kwenye hizo mambo

does this represent Miami?

Mtoto mdogo amezungumza maneno yenye hekima kubwa sana

Sasa wale wasomi wanaoita pres za kijinga wanashindwa kuwa na maneno yenye hisia na uchungu wa maisha kama huyu aisee dogo kaongea fact za maana kuliko hata hizo takataka zenu za wasomi

@Kheryson_899 Dah!! Dogo kaongea maneno yanagusa sana.. “Mungu anamakusudio yake, Tusikate tamaa, Omba Mungu, Usiibe cha Mtu”

Mimi nimefurahi sana hapa kwenye elimu katambua kwenda kuanza kusomea panzi Ana miguu mingapi ni kupotezeana mda bola akasomee kitu atachoweza kukifanya kwa hili ningeomba mitaala ya elimu iboreshwe watu wasimalize shule ili kuajiliwa na serikali Bali wawe na ujuzi wa vitendo

Mungu wetu halali wala haendi likizo anasikia na anaona mapambano yetu kikubwa tusikate tamaa

Maneno yenye nguvu kabisa toka kwa kijana mdogo. Amesisitiza tusikate tamaa na tuombe pia.

Ili uwe WAZIRI ama RAIS wa inchi unatakiwa uwe na Elimu kiwango gani?... Dogo sijamuelewa ktk hayo mambo kidogo @PMadeleka tuambiane UKWELI Kuna mambo yakikupita na mwenyewe hutaki basi tena uwaachie wenzako kwa sifa na utayali wa zari la mentali ama katiba imebadilka?.😂😂😂

Nimebookmark iwe motivation mpaka mwisho wa huu mwaka

Akili kubwa sana aisee 😊

