正在加载视频...
视频加载失败
Ila Choice ya wimbo Mulastar 🫴🙆♂️
28,884 次观看 • 29 天前 •via X (Twitter)
10 条评论

Big 007❄️29 天前
Jet lee kaoa 😂

Latto 𝕏29 天前
Mwamba kaja kwa ajili ya Tenda moja kapata na ya pili ya nyongeza 😂

EPHRAIM29 天前
ndo mana bara bara haziishi ujenzi saizi😂😂

Makoye jr29 天前
😂😂😂😂 hawa jamaa wanazoa sana hku mtaani

Tracey heaven29 天前
Ndo maana juzi nimeona boda boda mchina mikocheni😂

KatZ29 天前
Wabongo tumeamua kwenda kimataifa, Sio mchezo..!!

Muser Tunes29 天前
😄😄😄🔥🙌

tiba asili29 天前
tukija shtuka wana washabeba nchi

PaschalSam129 天前
Wanawapa limbwata hadi wachina 😂😂😂

kedythegreat 11:1129 天前
Nashindwa kwelewa kumamake 🤣🤣🤣🤣

