Ila Chuga mna nini lakini!?
98,638 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Rusianboy💱1 年前
Siku izi kila kitu ni uozo. Hatuna Maadili hata chembe. Take assume huyu dada ndo mwanae anakuja kuoneshwa video ya mama yake akivua chupi hadharani. Doesn't make sense 💔

Fredrick Massawe1 年前
Bila Shaka awa wanatikiza matamko ya kikao cha wanaume bahili tz

Ntare Ada1 年前
Huu no udhalilishaji wa jinsia...kama sio maigizo,hawa jamaa wafuatiliwe na kushitakiwa...Tanzania ni kisiwa cha Amani....iweje tuwe na watu kama hawa Arusha??

MAJUNUNU jr1 年前
Huu ni uzalilishaji na ni picha mbaya kwenye jamii

UNCLE T 🇹🇿1 年前
Hahaaaq chupi la njano

Solar Heavy1 年前
whoa have you heard this song?

INTERIOR ZOO🛋️🐐1 年前
Hii ni content au serous?

Mazoya1 年前
Wanawania tuzo ya vichekesho

nam1 年前
Content zingine bhan

Chris1 年前
@maendeleoyajami

Active Shooter..1 年前
Huu ni ukichaa na anaepost na yeye ni walewale.

